wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rwanda yaanza kutoa chanjo ya ziada kwa wazee na wenye maradhi nyemelezi

    Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne. Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na utaanza katika mji mkuu, Kigali. Waziri wa nchi wa Rwanda anayehusika na huduma za afya ya msingi...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

    Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watia nia wote waidhinishwe na wazee wa majimbo

    Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa. Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali na watendaji wake hawawathamini wazee waliostaafu

    Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee. Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha ulaghai na ukiukwaji wa haki za wastaafu. Wapo wastaafu tangu 2017 Hadi 2020 hawajapewa mapunjo yao...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

    Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
  6. JamiiForums Tanzania Elimu ya kulea wagonjwa na wazee ifundishwe VETA uhitaji unaingezeka

    Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku. Kutokana na uhaba wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi. Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia. ==== UPDATES Jeshi la Polisi Kanda...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana rudini vijijini mkawasaidie wazee

    Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu watoto/vijana wao, wanasema wamekimbilia mjini kutafuta maisha, na wengine wanazaidi ya miaka 10...
  9. JamiiForums Tanzania Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ==== Police General Orders (PGO) ni nini? Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

    Habari wakuu. Naulizia nyumba ambazo wazee watu wazima wanatunzwa. Nahitaji kwenda kuwasalimia na kuwashika mkono kidogo
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Magoma: Haiwezekani MwanaSimba afanye kazi Yanga

    "Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu We ulishawahi kuona wapi Mwanachama wa Simba afanye kazi na Yanga, Sisi tunampenda Manara kwasababu ya Baba yake tu ila hatumpendi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  13. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Wazee muhimu wasife na kuicha CCM peke yake

    Wazee muhimu ninamaanisha wazee wenye akili nyingi, wenye hekima na wanaoifahamu vema Tanzania. Wazee hawa ni wale wote wenye hadhi ya Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mzee Kikwete, Mzee Warioba, Butiku, Cleopa Msuya, Malecela, Msekwa, Karume, na wengine wa aina hii. Kule Marekani na Ulaya wazee wazee...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana ukioa tu lazima wazee wa "Kitonga" wamchukie mkeo tu, chunguzeni

    Nimechunguza mengi sana ndani ya ndoa. Kabla hujaoa ulikua huru kwenda na kurudi muda wowote na tabia za kibachela. Ndugu jamaa walikua huru kukuomba na kuwasaidia bila vikwazo vingi. Ukishaoa kijana lazima ubadilike ili uendane na mwezio, yaani uache tabia ulizokuwa nazo unaze kuishi kutokana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Wazee Wanne wa Simba SC wakifanya wanachotaka Kukifanya kwa Hasira waliyonayo, Haji Manara anakuwa Chizi au Marehemu upesi

    Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC. Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti wa kizazi kipya hii hapa (based on research)

    Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo, Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vijana wabaka wazee wakiamini ni tiba ya UKIMWI

    Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, vijana huwabaka waliowazidi umri hasa wazee ambao wanakulikana kama 'Shushu' Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa yaingia Tarime, wazee na wajane hatarini

    13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…