Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 167
- 354
Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti
Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo morice kamalizia limefanya niishiwe nguvu
Nashindwa kuelewa kocha naona kitu gani ambacho si hatukioni mgunda kapewa dk chache angalia effect yake goli mbili za mwisho zimeanzia kwake ni upuuzi kuendelea kumpa nafasi mtu ambaye anahitaji muda huku ukiacha mtu ambaye yupo tayari na anaweza kukupa matokeo
Kocha anatakiwa ajifunze kutoa nafasi Kwa wachezaji wakiprove wapewe namba mfano kelvin nashon,mgunda etc sio unang'ang'ania mtu mmoja