Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi.
Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha
Dominika ya Familia Takatifu.
Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu.
Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...