wazawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Vibarua wanaojenga SGR Itigi wamegoma kufanya kazi wakidai maslahi ni duni kwa Wazawa

    Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa. Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
  2. comte

    Taswira ya uwekezaji katika nchi yetu inaonesha wageni wanawekeza zaidi kuliko wazawa

    Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023; 1. Dar - Bilioni 422 2. Pwani - Bilioni 307 3. Morogoro - Bilioni 19 4. Ruvuma - Bilioni 17 5. Arusha - Bilioni 9 6. Mwanza - Bilioni 7 7. Mbeya - Bilioni 6 8. Dodoma - Bilioni 5...
  3. Moshi25

    Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  4. LIKUD

    Feisal ndiyo amewaharibia zaidi wachezaji Wazawa

    Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha. Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya...
  5. Tango73

    Suala la Feisal toto ni mgogoro wa Wachezaji wazawa!

    ' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni. Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai...
  6. figganigga

    Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
  7. N

    Je, ni kweli miradi inayotekelezwa nchini inawanufaisha wazawa?

    Katika Serikali ya Rais Samia Suluhu mirsdi yote inayotekelezwa nchini inawanufaisha wananchi kwa asilimia kubwa maana ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika miradi mbalimbali nchini umeendelea kuwa fursa ya ajira kwa vijana. Moja ya vipaumbele vya Mhe. Rais Samia Suluhu ni kutoa elimu ya...
  8. Logikos

    Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  9. Pfizer

    DC Heri James: Fedha ya force account, iwanufaishe Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa

    Dar. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James amesema Fedha ya force account, ni kwaajili ya kuwanufaisha Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa ili kuwe na mzunguko wa Hela Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Kufunga mafunzo kwa Mafundi 1000 wa Wilaya ya Ubungo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kampuni ya...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  11. ozark

    Ni wakati sasa FIFA ku-rank ubora wa timu za Taifa kwa makocha wazawa

    Wakuu, Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo. Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha. Huenda ilikua ni wazo zuri la kuruhusu wachezaji kuchagua timu zao za taifa endapo mchezaji ana uraia wa zaidi ya timu moja...
  12. Jidu La Mabambasi

    Makamba acha hizo ati makandarasi wazawa wanachelesha miradi: SGR na Stigler vipi?

    Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa. Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
  13. Jidu La Mabambasi

    Asante Rais Mwinyi, makandarasi wazawa tumekusikia!

    Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi. Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali. Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
  14. M

    Vita hewa vya kiuchumi na Dhuluma kwa wawekezaji wazawa

    Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi! Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi kabisa. Tanzania hatukuwa na vikwazo vyovyote vya kiuchumi bali tulikuwa na vikwazo vya kisheria kutokana...
  15. Satisfy

    Thamani ya wazawa yaonekana kwa klabu ya Simba

    Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake. Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini. Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha kwanza ktk utambulisho. Pia nawapongeza mashabiki na wadau wa mpira kwa mapokezi mazuri kwa wachezi...
  16. M

    Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

    Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa. Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
  17. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  18. chiembe

    Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  19. K

    Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

    wakuu tumekuwa tukisikia sifa za wanyarwanda kuwa wako juu sana kwenye hizi issue za tech lakini cha kushangaza mbona hakuna mtandao hata mmoja wa kijamii uliotengenezwa na mnyarwanda ambao tunaweza kuulinganisha na hii JF ya Melo afadhali wakenya wao wana kenyatàlk nk ambao kiuhalisia ni...
  20. MK254

    Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

    KFC ni kampuni makini sana kwenye suala la kuhakiksha ubora, hivyo hawanunui malighafi kiholela, wanakagua sana viazi na wamekubali wataanza kununua kutoka kwa wakulima wetu, ila lazima tukidhi vigezo, maana kwamba enzi za kufukia mbegu na kuvuna vimepitwa na wakati, inapaswa tuanze kuhusisha...
Back
Top Bottom