Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,255
Reaction score
14,157
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
 
Hapo sijaitaja tume ya uchaguzi
 
Kuna kulinda amani, na kuvuruga amani(mauaji), la walikuwa na lafudhi ya kizanzibar inavosemekana lakini
 
*Rais wa Tanzania anaweza akawa Mzanzibari,na Zanzibar ina Rais wake ambaye hawezi akatokea bara.
*Kuna bunge la serikalia ya mapinduzi ya Zanzibar ila hamna mbunge mbara anaweza kuwa kwenye baraza la serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
*Mbara hawezi kununua ardhi zanzibar ila wazanzibar wananunua ardhi bara.
Kama Zanzibar ina rais wake kwanini tuongozwe na rasi kutoka Zanzibar?
 
Hapa bora kama tunaachana tuachane vizuri tu.., huu mzaha unaoendelea unaweza kuleta maafa makubwa sana na baada ya kuachana tukawa maadui badala ya kuendelea kuwa kama ndugu...

Upuuzi mwingi sana unaendelea sasa hivi, ni as if The Lunatics are running the Asylum....

Hili Janga wanalochuma litatumaliza hata tusio na makosa
 
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
Tatizo hapo ni FISIEM WAZANZIBAR waacheni bure
 
Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.
Bunge lililopita la Tulia Ackson kulikuwa limrshavunjwa hivyo haliwezi kukemea au kulaani.
Bunge jipya kulikuwa bado kukaa vikao na kuteua spika. Ulitaka Nani atokee kukemea akitokea bunge gani?
Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?
Tuwe makini kidogo kujenga hoja na tuwe wakweli.
Chombo gani Cha habari au muandishi au muhariri gani anaweza kurusha habari ya kukosoa akabaki salama kipindi hicho ha kuelekea uchaguzi 29/10 na baada ya maafa? Hujasikia Jamiiforums imefungiwa? Hujasikia wamiliki wa vyombo vya mtandaoni kadhaa wameshitakiwa
Hujasikia Thomas Ng'ombo muandishi wa habari wa Millard Ayo kashitakiwa uhaini?
Na waandishi wengine wengi.
 
Tatizo ni Wazanzibari?
 
Tunahitaji katiba mpya harakasana, hii katiba inayo mfanya kiongozi mkuu kuwa Mungu mtu nihatari sana, na ndio chanzo cha kila tatizo.
 
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
JIBU: RAIS ANA MADARAKA MAKUBWA MNO KIASI KUAMUA LOLOTE LIWE NA LINAKUA. ANAWEZA KUBADIRISHA KIONGOZI YEYOTE YULE AMBAYE HASIKILIZI AMRI ZAKE. MAAMUZI YA NANI ALIPWE PESA NA NANI APEWE CHEO GANI YAPO KWA RAIS. NENDA KAONE JESHINI ALIVYOPANGUA JESHI, NI MKUNDA TU NDIYO SI MTU WAKE ILI KUWAZIBA WATANGANYIKA.

SWAHIBA ZAKE: KIKWETE - YUPO KWENYE MASLAHI MAKUBWA YA UTAJIRI PAMOJA NA MTANDAO WAO

HAO 99% UNAOSEMA WAPO, HAWANA UWEZO WOWOTE WA KUBISHA HATA HAO WABUNGE. UMEONA POLE POLE YUPO WAPI? ALIPOBISHA TU, WANAKUTENGA WEWE WANAKUUA. DIVIDE AND KILL. HAO 99% NAO WANAOGOPANA, NANI AANZE, ANAYEANZA NDIYO HUYO ANADAKWA. UNAFIKIRI IGP HAJUI HIYO?

SIMBA KULE POLINI WANABABAISHA NYATI 50, WANAWASAMBAZA NA KUMLA MMOJA. WENGINE WANAANGALIA. KIUKWELI NYATI NI MYAMA MWENYE NGUVU SANA KAMA SIMBA. ILA AKITOKEA NYATI MMOJA TU NA KUMFUATA SIMBA SIMBA HUKUMBIA NDIPO UTAONA NA WALE NYATI WENGINE KUUNGANA NA KUMKABILI SIMBA.

FACT
 
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
Ni are you serious??? and not seriously
 
Back
Top Bottom