Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,020
Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila sura nzuri.
Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana vichogo sasa najiuliza hawa watu hua wanapigwa nyuma hadi kichogo kiingie ndani au? nashindwa kuelewa kwa kweli
Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana vichogo sasa najiuliza hawa watu hua wanapigwa nyuma hadi kichogo kiingie ndani au? nashindwa kuelewa kwa kweli