wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  2. K

    Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  3. Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    β– AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  4. Kumbukumbu zangu juu ya Migogoro ya Waarabu na Wayahudi

    Wanasema uzee dawa na ni kuona mengi katika maisha ya ubinadamu. Nakumbuka miaka hiyo ya 1965, nilikuwa kijana mdogo kabisa na nikifuatilia kwa karibu mzozo wa Mashariki ya Kati. Nilibahatika kuishi jijini Cairo na jijini Damascus na Beirut, na nilikuwa naona maandamano na miadhara ya kila siku...
  5. Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

    Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera. Kimsingi baada ya vita ile...
  6. Chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi ilivyosababisha holocaust

    Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi. Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust). Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo...
  7. Wayahudi ni watu wa vita miaka yote

    Kwanza lazima niweke wazi, mimi ni mkristo. Suala wa hawa binadamu wenzetu Wayahudi, sasa ni pasua kichwa duniani. Kwanza kihistoria , hawa ndio walimuua Yesu Kristo msalabani, kwa mateso makali. Kwa miaka ya karibuni na hata sasa, palipo na vita humkosi myahudi Palipo na ugunduzi wa vifaa vya...
  8. Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

    "Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa...
  9. Netanyahu awashutumu Waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler awaue Wayahudi

    Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo. Adolf Hitler aliacha historia isiyosahaulika kwa waisraeli kutokana na mauaji aliyoyafanya dhidi wayahudi, ambayo yalipewa...
  10. Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "π‘Όπ’”π’Šπ’π’‚π’π’† 𝒏𝒂 π’Žπ’•π’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’•π’–...
  11. Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  12. Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

    Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ο·Ί) as saying: You and the Jews would fight against one another until a...
  13. S

    Fahamu azimio la Balfour lilipelekea kuanzishwa kwa taifa la Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel. kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi. Baadae...
  14. Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
  15. Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

    Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu. Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
  16. Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu. Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa...
  17. Urim na Thumim: Jinsi Wayahudi walivyokwenda vitani

    Imeandikwa katika Biblia kwamba kabla ya Vita Urim na Thumim lazima ziwe consulted. On investigation,hii Urim na Thimim turns out to be nothing but the subconscious mind. Unaposema uliza one question at a time. Unaposema ukiuliza swali in two parts,only the first part will be answered. Haya...
  18. F

    Wasabato msiwe kama Wayahudi wanaomsubiri Kristo wakati alishakuja miaka zaidi ya 2000 iliyopita!

    Tunaishi kipindi baada ya unabii. Mambo yaliyotabiriwa kumhusu Yesu Kristo yalishatokea. Msione Kitabu cha Ufunuo kimewekwa cha mwisho katika mpangilio wa vitabu vya Biblia mnafikiri hayo ni mambo ya baadaye. Ni kama unabii wa Isaya au manabii wengine ulishatokea. Maono ya Yohana juu ya dunia...
  19. Wayahudi Tanzania?

    Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
  20. Chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi kuna nini nyuma ya pazia?

    Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu. Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…