wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

    MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume. Unapozungumzia...
  2. Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  3. Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

    Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa. Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
  4. Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
  5. Wayahudi hata wakijiunga uislamu, bado watauawa sana tu, hizi hapa facts

    Hizi ni facts sio chuki..... Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia. Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k. Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa...
  6. N

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na...
  7. Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  8. Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
  9. M

    Mzuka wa Myahudi mweusi na wayahudi wa Yemen kwenye jeshi la Israel IDF

    Mzuka wanajamvi. Yani inapendeza sana ukiwa kati ya wateule na watakatifu (the chosen ones). Kwenye hiyo video hapo chini myahudi mweusi kwenye jeshi teule na takatifu IDF mzuka umemshika nakupandisha mori kwa kuhamasisha wateule wenzake katika vita dhidi ya magaidi huko Gaza...
  10. Wayahudi wengi waanza kumrudia Mungu, amewanusuru kwa maafa kama alivyokua anafanya enzi zile

    Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine. Sasa...
  11. Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    Wanatushawishi mara oooh wayahudi hawawapendi wakrsto wachukieni. Ukiuliza tuwachukie kwa lipi utasikia allah kasema*sasa wakrsto na allah wapi na wapi" Mara oooh walimuua issa mwarabu wa kwenye hadith za qur'an wachukieni. Sasa wakrsto na issa mwarabu wapi na wapi? Sisi hatumtambui issa...
  12. Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi

    Gaza imebaki ukiwa, magofu na damu kote, yote haya yangeepukika kama msingewaua watoto wa Wayahudi eti mnatekeleza maagizo ya dini ya kufuta jamii ya Wayahudi. ============ GAZA, Dec. 31 (Xinhua) -- The number of Palestinian deaths due to Israeli attacks on the Gaza Strip has risen to 21,822...
  13. Meli yenye Wahindi yapigwa na drone ya Iran

    Mnapenda kulazimisha ugomvi kote kisha mnalia lia kwamba mnaonewa, fahamuni kwamba Wahindi nao ni kama Wayahudi, hupiga sana, temaneni nao, yaani kwenue maugomvi yenu temaneni na Wayahudi, Wahindi, Wachina. Shobo zenu tufanyieni sisi. ===== https://www.youtube.com/watch?v=tdcWFEf-zQI A...
  14. Biden asema yeye ni Mzayuni, hivyo mnalo enyi mnaotaka kuua Wayahudi wote

    Mpaka muifute jamii ya Wayahudi mbona shughuli...temaneni na hayo mawazo muishi nao kwa amani, hayo maagizo ya kwenye vitabu vyenu vya kidini kwamba muue Wayahudi wote yanawachoganisha tu na mnaishia kufa wenyewe, wale Mungu wao ni mkuu kuliko wa kwenu na aliwaokoa tangu enzi za manabii akina...
  15. Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

    AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu. Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
  16. M

    Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

    Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria. Kwa...
  17. Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

    Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
  18. Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
  19. Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
  20. S

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo. Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa. Hata hivyo, cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…