Mzuka wa Myahudi mweusi na wayahudi wa Yemen kwenye jeshi la Israel IDF

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,733
29,118
Mzuka wanajamvi.

Yani inapendeza sana ukiwa kati ya wateule na watakatifu (the chosen ones).

Kwenye hiyo video hapo chini myahudi mweusi kwenye jeshi teule na takatifu IDF mzuka umemshika nakupandisha mori kwa kuhamasisha wateule wenzake katika vita dhidi ya magaidi huko Gaza.

Pia hapo chini ni wayahudi wa Yemen yemenite jews kwenye jeshi teule la IDF wakipandisha mzuka takatifu.

God bless and protect Israel.

Cc Alwaz ITR adriz Malaria 2 Bwana Utam Ritz green rajab mjingamimi Accumen Mo incharge inamankusweke
 
Hapo mwisho mwisho kwenye video baada ya kuhamasishwa na huyo myahudi mmatumbi wanaimba nakurukaruka wakisema Nipe sugar skari imeshukaa nipe sugar skari imeshuka.

Yani natamani nami ningekuwa miongoni mwao yani mzuka wangu ungekuwa balaa uspime yani ningeruka kima cha tulia ama thabeet.

nguvu 25000q
 
Ungeshia kujamba tu kenge wewe ..
 
Hapo mwisho mwisho kwenye video baada ya kuhamasishwa na huyo myahudi mmatumbi wanaimba nakurukaruka wakisema Nipe sugar skari imeshukaa nipe sugar skari imeshuka.

Yani natamani nami ningekuwa miongoni mwao yani mzuka wangu ungekuwa balaa uspime yani ningeruka kima cha tulia ama thabeet.

nguvu 25000q
Sasa wewe si ungeishia kutoa vijambo na sauti za mbwa?

Waanze kuulizana mbwa anabwekea wapi? Kumbe Mnamtumbo kashindwa kushikilia.

Pumbavu
 
Hapo mwisho mwisho kwenye video baada ya kuhamasishwa na huyo myahudi mmatumbi wanaimba nakurukaruka wakisema Nipe sugar skari imeshukaa nipe sugar skari imeshuka.

Yani natamani nami ningekuwa miongoni mwao yani mzuka wangu ungekuwa balaa uspime yani ningeruka kima cha tulia ama thabeet.

nguvu 25000q
Israel kuna wayahudi weusi zaidi ya 160,000 walibebwa tokea ethiopia ambako ndio kizazi cha mfalme suleiman alichozaa na malkia wa sheba/kush (kama inavyoelezwa kwenye Biblia), watoto hao wa suleiman wamekuwa wakiabudu dini ya kiyahudi tangu enzi hizo hadi leo, Israel ilituma ndege na kuwabeba baada ya kuona wanabaguliwa sana na serikali ya ethiopia, ethiopia ikaona wanaisha inazuia, kwa sasa pale ethiopia wamebaki wayahudi weusi kama 25,000 ambao pia siku hadi siku wanakimbilia israel mmoja mmoja hadi kuna siku wataisha.

kweney Biblia kuna eneo linaonyesha enzi za mfalme suleiman, kuna malkia mweusi toka ethiopia alisikia busara/hekima ya suleiman na utajiri, akabeba jeshi likiwa na zawadi kama dhahabu, almasi n.k akampelekea suleiman kule Jerusalem, alipofika suleiman alimlala akarudi huku ethiopia akiwa na mimba, akazaa hicho kizazi ambacho kimekuwa distinct na waethiopia wengine tangu enzi hizo hadi leo. na ni wayahudi kwa namna hiyo. hivyo msishangae.

pia, kuna kundi kubwa sana la wayahudi lilikimbilia iran, iraq, yemen, morocco, aljeria, misri, syria, armenia, greece n.k hao wote walisharudi ndio maana unaona pale israel kuna wayahudi wenye rangi mbalimbali, wengine wanaonekana kama waarabu jua walienda kuzalishwa kwa waarabu, wengine kama wazungu na wengine ni hao weusi. najua mujahidin mnashangaa hilo kwasababu huwa hamsomi Biblia.
 
Back
Top Bottom