wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Shehe Mwarabu mvamizi huko Australia awashambulia tena Wayahudi kwa Chuki kali sana kama Allah

    Imam wa Australia ambaye aliomba msamaha kwa mahubiri ya chuki dhidi ya Wayahudi sasa anataka 'kuwaua wadhalimu wote'. Sheikh Ahmed Zoud hivi majuzi alifutilia mbali madai kwamba Wayahudi wana kiu ya umwagaji damu na wasaliti, lakini kauli mpya zinazua maswali iwapo anatumia filimbi ya mbwa...
  2. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanyakyusa wana manabii na mitume wengi kuliko wayahudi

    Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi? Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa...
  3. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Ibada ya ijumaa chanzo chake ni Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi

    NINI CHIMBUKO LA IBADA YA IJUMAA? Ibada ya siku ya Ijumaa imeelezewa chanzo chake katika kitabu kilichoandikwa na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu wa Ansaar, kwa jina: "Historia ya Mtume Muhammad (S.A.W)" – na Muhammad Abdalla Riday, Ansaar Muslim Youth Organisation UK, Na. 47. Katika sehemu ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliwapenda ,kuwatetea, kuwapigania na kuwalinda Wayahudi? Je mataifa mengine kwanini hawakupewa upendeleo huo mkubwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali toa sababu za msingi ukinukuu vyanzo makini Lugha zisizo na staha haikubaliki Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi kumwita yeye Mdanganyifu

    Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano mgumu kati ya Wayahudi na Uislamu katika zama za Muhammad . Ili kulielewa vizuri, ni muhimu kuzingatia muktadha wa kihistoria na kijamii: 1. Historia ya Wayahudi Arabia Kabla ya Uislamu, kulikuwa na makabila ya Kiyahudi kama Banu...
  6. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanamiliki asilimia 55 ya utajiri wa dunia huku waislamu wakiwa na 5.8, wahindu 3.3, wayahudi 1.1 na wengineo 34.8

  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  8. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Wayahudi halisi ni weusi , wale waliopo pale Israel ni wamchongo, mda ukifika wayahudi halisi (weusi ) watakuja kuchukua nchi yao

    Unajiita nchi teule alafu eti, mnaua watu wasio na hatia ( hasa watoto wadogo )....alafu mnajitetea kwa kivuli cha kuwa nyie ni TEULE, hapana hapana!!, tumeshtuka. Mimi naamini kwenye maandiko ya Biblia takatifu, hawa wa Israel wa sasa ni wa mchongo, waisraeli halisi bado wapo utumwani(...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani cha nguvu wanazo Wayahudi/Waisrael katika siasa na uchumi wa Marekani ?

    Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko. Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ? Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya Biblia Agano Jipya: Je ni kweli Wayahudi walikuwa wakifungua kaburi baada ya kumzika mfu ili kumpaka marashi?

    Tunaelezwa katika maandiko ya Injili kwamba siku Yesu alipofufuka wanawake watatu walienda kaburini wakiwa na marashi/manukato ili waupake mwili wa Yesu. Je, kweli kihistoria hii ilikuwa desturi ya Wayahudi mtu ameshazikwa wafungue tena kaburi na kumpaka manukato (or preservatives in that...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania INRI= Yesu mfalme wa wayahudi

    Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini: Iesus = Yesu Nazarenus = Mnazareti Rex = Mfalme Iudaeorum = Wayahudi ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Maneno haya yaliandikwa kwenye msalaba wa Yesu kwa amri ya Pontio Pilato, kama ilivyoelezwa katika Injili ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Falsafa ziongozayo maisha ya Wayahudi

    Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo: 1. Uungu na Uumbaji: - Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Myahudi awapiga risasi wayahudi wenzie huko miami akidhani ni wapalestina

    Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma, Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

    Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia itikadi kali kuwa Israel ni ya wayahudi tangu miaka 3k wanasema ni "mambo ya kufikirika" ila cha kushangaza wao wana yakufikirika mengi

    Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia. Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa, ukafundwa na mwalimu wako wa kiroho na kukumbushwa kuhuzulia kila siku na mama yako mpendwa. Kwa fikra...
  19. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
Back
Top Bottom