Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika...
Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh
Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto
Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie
Ina maana kesho naenda kazini by foot.
Shikamoo kanji
Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie.
Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo...
Karibu Wadau wa JamiiForums!
Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna watakao pokea elimu hii kwa mikono miwili, lakini pia kuna wale watakao pinga kwa ubishi na ujuaji...
Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao...
Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja.
Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless.
Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua...
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi...
Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa...
Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii?
Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.
Nawatakia...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita...
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia...
YAI
Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi.
Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
ASANTE
Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni.
Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu”
Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu.
Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.