waungwana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Rais Samia ni team waungwana adui hawamuumizi wala hawamtesi, wanamvuta karibu na kummonita

    Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana. MFANO WA MWANDOSYA Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana miaka ya 90 wakati wa utawala wa mwinyi. Wakati huo JK alikuwa waziri wa nishati na MWANDOSYA...
  2. GokuOne

    Mwaonaje hii waungwana? 🤣🤣

    Hii ni noma sana...
  3. Kwekitui

    Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  4. Kitambi chakufutia tachi

    Waungwana msaada

    Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  6. comte

    Baa wanapokuwa waungwana zaidi kuliko kanisani kwa mkosaji

    Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani. Mchungaji alimfokea. Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu. Hakutia miguu tena kanisani . Jioni...
  7. M

    Kwanini Dkt. Bashiru na Makonda wamekuwa waungwana kwa kukaa kimya, lakini Harakaharaka yuko mbio sana

    Nawapongeza sana Mkonda na Dr. Bashiru kwa kuwa waungwana hasa wakinata na ile methali isemeyo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama. Wahishimiwa hawa waungwana na watu ambao walifanya kazikubwa sana wanaweza kuwa vijana wa mfano wa kuigwa na vijana wengine kutokana na upepo ambao ulikuwa ukisuma...
  8. bongonyoo

    Msaada waungwana

    Naomba msaada was msanii aloimba wimbo huu na jina LA wimbo,
  9. D

    Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  10. mojave

    Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  11. B

    Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  12. I

    Madereva mwendokasi hebu jaribuni kuwa waungwana

    Tukiwa tunasubiri gari ya Kivukoni stendi ya Kimara terminal leo Ijumaa Mida hii saa 7:50. limekuja gari la Kivukoni Express likasimama sehemu ya mabasi ya gerezani badala ya sehemu yake ya kivukoni. Abiria tukakimbilia kutaka kupanda cha ajabu baada ya idadi ndogo ya watu kupanda na abiria...
Back
Top Bottom