wauguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA) na sakata la tamthilia ya Zahanati ya Kijiji. Ukimya wa Bodi ya Filamu unatoa mwanya wa unyanyasaji

    Chama cha Wauguzi TANNA wametoa waraka unaoelezea sakata lao na waandaaji wa thamthilia ya Zahanati ya Kijiji onayorushwa na kituo cha Azam TV. Wadau mbalimbali wa sanaa wameonesha kuchukizwa na mwenendo wa chama hiko cha wauguzo kuongilia taaluma ya sanaa hususani kuonesha dalili ya...
  2. BARD AI

    Uwezo mdogo kwa Wauguzi kugundua Saratani ndio chanzo cha kushindikana Matibabu

    Uwezo mdogo wa wauguzi kutambua mapema ugonjwa wa saratani kwa watoto umetajwa kuwa changamoto mojawapo inayotatiza matibabu ya ugonjwa huo. Katika kutatua changamoto hiyo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ikishirikiana na Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani...
  3. Roving Journalist

    Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
  4. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  5. JanguKamaJangu

    Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  6. JanguKamaJangu

    Uingereza: Wauguzi wajiandaa kufanya mgomo wakidai maslahi

    Maelfu ya wauguzi hao wanatarajia kufanya hivyo wakitaka waboreshewe maslahi ili kuendana na uhalisia wa gharama za maisha. Imeelezwa kuwa ikiwa wauguzi hao wa Serikalini watafanya hivyo itakuwa ni mara ya kwanza katika histori kufanya hivyo kwao. Wauguzi hao walio chini ya Huduma ya Afya ya...
  7. JanguKamaJangu

    Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha mjamzito Mkoani Mtwara

    Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake." Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
  8. JanguKamaJangu

    Uganda: Wauguzi na Wakunga waanza mgomo kisa maslahi duni

    Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo tangu Mei 16, 2022. Rais wa UNMU, Justus Cherop Kiplangat amesema amefikia maamuzi hayo kutokana na...
  9. beth

    Mei 12: Siku ya Wauguzi Duniani

    Dunia inakabiliwa na uhaba wa Watumishi wa Afya hususan Wauguzi, na hali hilo inaweza kuathiri jitihada za kufikia Lengo la Huduma ya Afya kwa wote ifikapo 2030 Wauguzi wana jukumu muhimu katika utoaji wa Huduma ya Afya, wanachangia katika Tafiti, kuzuia Magonjwa, kutibu Majeruhi, kusimamia...
  10. JanguKamaJangu

    SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  11. John Haramba

    Asilimia 70 wauguzi Hospitali ya Amana ni wanawake

    Madaktari Bingwa 30 hutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Amana Wilayani Ilala. Hayo yalisemwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Dkt.Bryson Kiwelu katika madhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo alishiriki siku hiyo na Watumishi wake Wanawake. Dkt.Bryson Kiwelu alisema...
  12. MK254

    Wauguzi wa Kenya kupata darasa la "medical English" na kuajiriwa Uingereza

    Hawa ni waliofeli English Language Testing System (IELTS) ======= Kenyan nurses who failed English language tests required for immigration to the UK will be supported by the British government to learn ‘Medical English’, an envoy has said. “We are ready to assist Kenyan nurses learn medical...
  13. W

    Wauguzi Mihambwe wapongezwa kwa kuongoza kiwilaya kwa utoaji wa chanjo ya Uviko-19

    Na Mwandishi wetu, Mihambwe Wauguzi wa Zahanati ya Mihambwe iliyopo Kata ya Mihambwe Tarafa ya Mihambwe wamepongezwa kwa kuongoza wa kwanza kiwilaya kwa wingi wa utoaji wa huduma ya chanjo ya Uviko 19 kwa Watu. Hayo yamebainishwa Leo Jumanne Februari 1, 2022 wakati wa ziara iliyofanywa na...
  14. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  15. luangalila

    Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

    Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya , wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
  16. Chachu Ombara

    Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  17. C

    Kwanini mitihani ya matabibu tu? Mbona ya wauguzi nayo ilivuja na hakuna hatua zilizochukuliwa?

    Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu. Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
  18. Equation x

    Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
Back
Top Bottom