watumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  2. R

    Tukimaliza kuuza vitu, tunauzwa kama watumwa arabuni kama mababu zetu walivyouzwa

    Ndicho kilichobaki kwa watanganyika. Kaa mkao wa minyororo shingoni
  3. Hance Mtanashati

    Kuweni makini wasanii watawajia kila aina ya gia kuwasahaulisha yote na kuendelea kuwafanya watumwa wao

    Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine. Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai ili muendelee kuwasapoti cha kisingizio eti "pale walikuwa kazini". Sasa kama walishachagua upande...
  4. Pakome

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  5. Prof_Adventure_guide

    Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  6. ELI COHEN

    VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

  7. Stability

    Mnakumbuka yule manzi wa "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa)" , jana kanifanyia surprise

    Watoto wa kishua bwana kumbe wanajua kupika
  8. ELI COHEN

    Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  9. Stability

    Jibu la demu wangu baada ya kumwambia nalala kwenye mkeka limenisikitisha

    Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ? 🤣🤣 Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
  10. H

    Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  12. Deinstein 01

    Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  13. Rorscharch

    Ukiwaza kwa Kina Utatambua Kuwa Si Tu Tunategemea Teknolojia Kwa Maisha Yetu Ya Kila Siku Bali Tumekuwa Watumwa wa Teknolojia Hizo

    Na je, tuna sababu ya kuamini kuwa akili ya bandia ni rafiki wa binadamu? Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa nikisikiliza vijana wawili wakijibizana katika basi la mwendo kasi kuhusu programu mpya ya simu inayoweza kumfanyia mtu kazi ya uandishi wa habari, tafsiri, na hata ushauri wa kisheria...
  14. Rorscharch

    Usichoambiwa Kuhusu Dubai na Watumwa Wanaojipeleka “Kufanya Kazi” Huko: Waarabu Wanajua Kutesa Watu!

    Utangulizi: Je, Unatamani Kwenda Dubai Kufanya Kazi? Fikiri Tena! Kila siku kwenye mitandao ya kijamii kuna video na picha za maisha ya kifahari Dubai — magari ya kifahari, majengo marefu, maduka ya thamani, na warembo waliopendeza kwenye fukwe. Ndiyo maana maelfu ya vijana kutoka Tanzania...
  15. Ricky Blair

    Watumwa kutoka Afrika Mashariki

    Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
  16. Pascal Mayalla

    Waarabu na Wakoloni,WazunguWametufanya Vibaya Sana!,Sio Tuu Walitu Colonise Nchi Yetu,Bali Wametu Indoctrinate Mental Slavery,Sisi ni Watumwa Wao!

    Wanabodi, Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
  17. Beira Boy

    Watanganyika weusi walikuwa ni watumwa je ni mwaka gani wariluhusiwa kufanya biashara zao binafisi baada ya kupata Uhuru 1961?

    Mohamed Said naomba utusaidie mzee wetu Asante sana SAYUNI BOY
  18. Mshana Jr

    Mfanyabiashara wa watumwa aliyegeuka kuwa Mtumwa

    Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa 🇸🇳 Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara wa ulaya Hata hivyo, katika mojawapo ya shughuli zake za kibiashara, maisha ya Diallo yalibadilika...
  19. Yoda

    Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  20. Financial Analyst

    Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

    Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi. Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo...
Back
Top Bottom