watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

    Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na kupata mishahara mipya ila hali wengine hakuna kilichobadilika, nakushauri utoe ufafanuzi wa jambo hili...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  4. JamiiForums Tanzania Disappointment: Why watumishi wanachezewa hivi? No madaraja, no malipo ya madai ya mishahara

    Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara. Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

    Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua. Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu. Hurrah Mhe. Rais Samia.
  8. JamiiForums Tanzania Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

    Asante mama asante sana kilikuwa ni kilio cha watumishi wa umma miaka mingi ila umetenda Mungu akubariki
  9. JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini waliopandishwa madaraja wanaanza kupokea mishahara mipya?

    Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
  12. C

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ziache kuwalazimisha Watumishi kuchangia Mwenge

    Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi? Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya wachangiaji, sasa hatujui wasiochangia wafanywaje. Pia wakuu wa idara wamekuwa wakionywa endapo atashindwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa kesi Mdude ni kielelezo cha kiburi cha Watumishi wa Umma Tanzania

    Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14. Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
  14. JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
  15. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

    Habarini za muda huu ndugu zangu, Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao. Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Afya Wilaya ya Sengerema imeshindwa kuweka watumishi zaidi ya 50 kwenye orodha ya kupanda madaraja

    Kiukweli ni hali ya kusikitisha sana idara ya afya kushindwa kuwaweka kwenye orodha ya watumishi wanaopaswa kupanda daraja zaid ya watu 50. Dhahama hii imewakumbuka baadhi watumishi wengi walioajiriwa kuanzia miaka ya 2015 na kurudi nyuma. Katika kufuatilia kwangu nimeona watumishi hawa sifa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

    Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021. Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mdee ahoji watumishi waliofukuzwa kwa vyeti feki kutolipwa

    Sakata la watumishi waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki limetinga bungeni baada ya mbunge wa viti maalumu Halima Mdee kuhoji nini mstakabadhi wa malipo ya mafao yao. Mdee amehoji hilo leo Jumatatu Juni 7 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Watumishi Chato watakiwa kujieleza kwa kutohudhuria sherehe za mazingira

    Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chato wameagizwa kuandika barua ya kujieleza sababu za kutoshiriki maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Maadhimisho hayo mkoani Geita yalifanyika wilayani Chato na kupelekea shughuli hiyo kuhudhuriwa na watu wachache, ukilinganisha na maandalizi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

    Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…