Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi, Kwa kuwa mama ametuheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu, kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara, tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli...