Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa.

===================================
The government’s decision to compel civil servants to update their curricula vitae (CVs) - and also include particulars of their religion and tribe - is already causing uneasiness among employees who question the rationale for the new requirements.

However, the government says those opposing the move were simply ill-informed - and could likely have preconceived notions.

The Permanent Secretary of the ministry of Finance and Planning, Mr Emmanuel Tutuba, said the details required in the new CV format are normal of any employee.

He noted that the complaints may be the result of misinterpretation, or are due to someone narrow-minded enough to think that there is only one CV format.

Noting that the details required would render a person to be well known to the authorities, Tutuba stressed that it is a normal vetting process which provides particular details of a person for use when needed.

“We have been proposing the names of some people at various institutions… and then you are asked about the background of the person - details which are missing in the original CV,” he said.

“People doing the vetting want to know your origin; your commitment; if you really are a Tanzanian; how you interact with different people... This is normal,” he explained.

However, the issue has not gone down well with some civil servants, with a number of members of the University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly (Udasa) and University of Dodoma staff (Udom) expressing dismay at some of the requirements in the proposed CV format.

“How is it that today in Tanzania in the public service I am asked what my religion, my tribe is? How does all this contribute to the improvement of public service in the country?” queried one of the employees from Udom. He said the manner in which information about new development was delivered raised concerns and doubts for the future of some public servants.

“How do I know what will happen after mentioning my religion and ethnic group? I know this is not a country of religion and ethnicity,” noted a lecturer from Udom.

According to the Udasa chairman, Dr Avit Thadei Mushi, the issue was not understood because it went directly to the implementation stage, although they have been constantly linked to various verifications at the university previously.

“We’ve been doing regular verifications in recent years, so we didn’t have to think about it, but the recipes in the current format brought in confusion… I personally started receiving calls from a lot of people lamenting this,” he said.

According to him, the staff were shocked by the development at a time when their particulars were already with the Treasury Registrar.

“Basically, we do not know the reason behind this. We have not been told what the reason is despite being asked to fill in, print, scan and then give it to our department heads so that they can return them to the registrar.

We do not know exactly what the goal is yet,” he said. The head of communications and relations at the Treasury Registrar’s Office, Mr Eric Mkuki, told The Citizen that the registrar, like other employees, had fulfilled his duty as a government entity.

He noted that the exercise had not only started with the current civil servants, but also with senior executives - and that this was just the second phase.

“Civil servants shouldn’t see this as a strange thing, but as part of the government wanting to get the right (updated) information from its employees on time,” he said.

The government, as an employer, according to Mr Mkuki, has the right to have the information of its employees and that the Treasury Registrar’s Office was involved because it is the custodian of public institutions and organizations.

“There is nothing wrong with this exercise. I, therefore, urge those responsible for filling in the information to do so because it is a normal requirement,” said Mr Mkuki.

Kama alivyosema Nyerere kwamba ,"Juhudi za kupambana na ukabila na udini ni lazima ziendelee, tukiacha tunaweza kurudi kulekule kwenye Mambo ya kipumbavu Kama walivyo majirani zetu".

Ninawapongeza sana wasomi wa vyuo vikuu waliopinga jambo hili la kipumbavu, na ni matumaini yetu rais Samia atalikemea kwasababu wengi wetu hatujui na hatuna makabila, tukianza na rais mwenyewe Samia, ukiacha na kwamba ni mzanzibar, yeye Hana kabila.
 
Kuna tatizo kwani kila si ana asili wataje waweke tu mshaanza kujushtukia

Wenye hofu ni wale walikuwa wanaendekeza ukabila huko nyuma
 
Kwamba kutajana kwa dini kutasaidia nini haswa, mbona mnakiuka hii hotuba ya Nyerere ambaye hata kumkosoa huwa jinai
https://www.jamiiforums.com/data/at...wenye_Mkutano_Mkuu_wa_CCM_Dodoma_1995360p.mp4
Sikiza mkuu hakuna tatizo unajua wanaondika nyuzi izi nyingi ni wa kabila moja na ukanda mmoja ukisoma makala wapingaji ni watu wa kanda moja ambayo wao ndio vinara wa ubaguzi huko makazini tunawajua hata nyerere anawajua

Sisi wengine mbona hatuna wasiwasi leo unaona kisa raisi ni kanda za pwani ni muislam jua kabisa makamu ni mkristo mtu wa bara kigoma hakuna tatizo litatokea kwa nn mnajishtua nyie wakina ole mushi, sijui lema ni wachaga tu mnakuwa na hofu na nyie ndio vinara wa ubaguzi
 
MK254 amekuuliza swali zuri Sana, na amekuwekea hotuba ya Nyerere, sidhani Kama umejibu swali lake, kujua dini na kabila la mtu itasaidia nini katika dunia ya Sasa inayotumia alama za vidole(Biometric data) katika kujua utambulisho wa mtu?
 
Hizi taarifa zinazojazwa sasa ni ku update taarifa mlizojaza wakati mnaajiriwa na wakati mnaajiriwa kwny personal

Template hiyo nimeiona ni ile ile ya miaka yote
Ni kweli Kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania yanauliza kabila na dini za watu, Kama Hospitali I, Guest house na polisi, lakini kote huko ni hiari kujaza hayo maeneo, sio lazima na Wala sio muhimu.

Japo kwa Tanzania hatari ya kujua dini na kabila la mtu sio kubwa Sana kwasasa kwasababu dini na ukabila kwa kiasi kikubwa vimepungua sana, lakini hakuna sababu yoyote ya kuuliza dini na kabila la mtu.

Tanzania tujue kwamba tumezungukwa na nchi zenye matatizo ya ukabila na udini, ni rahisi Sana na sisi kutumbikia huko Kama hatutochukua tahadhari, hapana kupuuzia Mambo madogo madogo Kama haya.
 
Hapa naona double standards kutoka kwa hili gazeti. Ukweli wanaujua kama haya mambo yalifanyika awamu iliopita ila hawakuwahi kuiripoti. Labda wanairipoti sasa kukumbushia kuna mabadiliko yanahitajika.

Mmoja wa wahanga wa huu mfumo ni my Wang wa karibu sana ambae badala ya kupandishwa cheo katika ofisi fulani akajikuta katupwa kwenye halmashauri fulani porini huko.

Kwa watu wenye jamaa serikalini wanajua ukweli kwamba hili jambo lilifanyika serikalini kuanzia miaka 3-4 iliopita.

Kiujumla ni aibu kubwa kuwa na jambo kama hili katika zama hizi.
 
MK254 amekuuliza swali zuri Sana, na amekuwekea hotuba ya Nyerere, sidhani Kama umejibu swali lake, kujua dini na kabila la mtu itasaidia nini katika dunia ya Sasa inayotumia alama za vidole(Biometric data) katika kujua utambulisho wa mtu?
Asili ya mtu hakuna tatizo kwa Tanzania mnajishtua tu maana hata taasisi zinauliza mbona unazani nan akubague kwa dini au kabila lako
 
Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa.

===================================
The government’s decision to compel civil servants to update their curricula vitae (CVs) - and also include particulars of their religion and tribe - is already causing uneasiness among employees who question the rationale for the new requirements.
However, the government says those opposing the move were simply ill-informed - and could likely have preconceived notions.
The Permanent Secretary of the ministry of Finance and Planning, Mr Emmanuel Tutuba, said the details required in the new CV format are normal of any employee.
He noted that the complaints may be the result of misinterpretation, or are due to someone narrow-minded enough to think that there is only one CV format.
Noting that the details required would render a person to be well known to the authorities, Tutuba stressed that it is a normal vetting process which provides particular details of a person for use when needed.
“We have been proposing the names of some people at various institutions… and then you are asked about the background of the person - details which are missing in the original CV,” he said.
“People doing the vetting want to know your origin; your commitment; if you really are a Tanzanian; how you interact with different people... This is normal,” he explained.
However, the issue has not gone down well with some civil servants, with a number of members of the University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly (Udasa) and University of Dodoma staff (Udom) expressing dismay at some of the requirements in the proposed CV format.
“How is it that today in Tanzania in the public service I am asked what my religion, my tribe is? How does all this contribute to the improvement of public service in the country?” queried one of the employees from Udom. He said the manner in which information about new development was delivered raised concerns and doubts for the future of some public servants.
“How do I know what will happen after mentioning my religion and ethnic group? I know this is not a country of religion and ethnicity,” noted a lecturer from Udom.
According to the Udasa chairman, Dr Avit Thadei Mushi, the issue was not understood because it went directly to the implementation stage, although they have been constantly linked to various verifications at the university previously.
“We’ve been doing regular verifications in recent years, so we didn’t have to think about it, but the recipes in the current format brought in confusion… I personally started receiving calls from a lot of people lamenting this,” he said.
According to him, the staff were shocked by the development at a time when their particulars were already with the Treasury Registrar.
“Basically, we do not know the reason behind this. We have not been told what the reason is despite being asked to fill in, print, scan and then give it to our department heads so that they can return them to the registrar. We do not know exactly what the goal is yet,” he said. The head of communications and relations at the Treasury Registrar’s Office, Mr Eric Mkuki, told The Citizen that the registrar, like other employees, had fulfilled his duty as a government entity.
He noted that the exercise had not only started with the current civil servants, but also with senior executives - and that this was just the second phase.
“Civil servants shouldn’t see this as a strange thing, but as part of the government wanting to get the right (updated) information from its employees on time,” he said.
The government, as an employer, according to Mr Mkuki, has the right to have the information of its employees and that the Treasury Registrar’s Office was involved because it is the custodian of public institutions and organizations.
“There is nothing wrong with this exercise. I, therefore, urge those responsible for filling in the information to do so because it is a normal requirement,” said Mr Mkuki.

Ni vitu vya kawaida sana tu mbona hata mahakamani, na polisi lazima utaje dini na kabila lako? Tatizo nyinyi huko ni ukabila ikiwa na maana ya kuwa mnafanya mambo yenu kwa kufuata kabila la mtu wakati sisi TZ hatuna ujinga huo. Kumjua mtu dini na kabila lake inasaidia kumjua vizuri mfanyakazi wa umma ili isaidie kwenye kumpangia maeneo ya kazi na idara pia isije kabila moja au dini moja ikakaa sehemu au idara moja pia inasaidia wakati wa vetting.
 
Ni vitu vya kawaida sana tu mbona hata mahakamani, na polisi lazima utaje dini na kabila lako? Tatizo nyinyi huko ni ukabila ikiwa na maana ya kuwa mnafanya mambo yenu kwa kufuata kabila la mtu wakati sisi TZ hatuna ujinga huo. Kumjua mtu dini na kabila lake inasaidia kumjua vizuri mfanyakazi wa umma ili isaidie kwenye kumpangia maeneo ya kazi na idara pia isije kabila moja au dini moja ikakaa sehemu au idara moja pia inasaidia wakati wa vetting.

Ni kweli Kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania yanauliza kabila na dini za watu, Kama Hospitali I, Guest house na polisi, lakini kote huko ni hiari kujaza hayo maeneo, sio lazima na Wala sio muhimu.

Japo kwa Tanzania hatari ya kujua dini na kabila la mtu sio kubwa Sana kwasasa kwasababu dini na ukabila kwa kiasi kikubwa vimepungua sana, lakini hakuna sababu yoyote ya kuuliza dini na kabila la mtu.

Tanzania tujue kwamba tumezungukwa na nchi zenye matatizo ya ukabila na udini, ni rahisi Sana na sisi kutumbikia huko Kama hatutochukua tahadhari, hapana kupuuzia Mambo madogo madogo Kama haya.
Kutaja dini na kabila ipo sehemu nyingi tu hata mahakamani nia yake hasa ili uhudumiwe vizuri kwa kuwa kuna utofauti kwenye dini na dini mfano mahakamani unahitajika kuapa pia kujua kabila lako linasaidia pia kwenye mahakama kama itahitajika mkalimani. Kwenye utumishi wa umma inasaidia katika kumpangia mwajiriwa sehemu ya kufanyakazi au kutoa huduma isije ukajikuta kabila au dini fulani wamepangia sehemu au idara fulani pekee yao. Ila TZ hakuna ukabila kama ulivyo Kenya mimi nilifanyakazi Kenya miaka kama nne nilichokiona huko kazini ni aibu hata kwenye bar hasa wajaluo na wakikuyu ukijichanganya tu mjaluo au mkikuyu akaenda kunywa kwenye bar ya wakikuyu au wajaluo anaweza kuwekewa hata sumu wakati TZ hicho kitu hakipo kabisa.
 
Kama alivyosema Nyerere kwamba ,"Juhudi za kupambana na ukabila na udini ni lazima ziendelee, tukiacha tunaweza kurudi kulekule kwenye Mambo ya kipumbavu Kama walivyo majirani zetu".

Ninawapongeza sana wasomi wa vyuo vikuu waliopinga jambo hili la kipumbavu, na ni matumaini yetu rais Samia atalikemea kwasababu wengi wetu hatujui na hatuna makabila, tukianza na rais mwenyewe Samia, ukiacha na kwamba ni mzanzibar, yeye Hana kabila.
Kama huna kabila ni wewe and it's your problem. Hata hivyo nami napinga vikali kuwa kabila na dini kwenye CV za watumishi. Ndiyo maana CAG Pror Assad alisema hatuna viongozi wenye uwezo...
 
Back
Top Bottom