CV walizojaza watumishi wa umma kwa maelekezo ya Hazina nini hatma yake?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,480
35,377
Habari,

Wiki iliyopita na wiki hii kuna watumishi wa umma wamejazishwa CV kwa maelekezo na maagizo kutoka HAZINA. Hii nilijua ni ofisi tu kumbe ni ofisi zote.

Lazima kuna lengo ndani ya CV ile. Binafsi ninahisi mambo mawili haya moja linaweza kuwa ndio lengo kuu la ile CV.

1.Kupunguza watumishi wa umma.

2. Maandalizi ya mishahara mipya ambayo itabeba usawa kwa watumishi wenye sifa sawia bila kujali yuko ofisi gani.
Wewe msomaji unahisi ni nini adhma ya ile CV?
 
Huo ni mfumo mpya waliouzindua hazina wanakamilisha kwa kujaza personal data kwenye majedwali yaliyowazi. Hakuna lolote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom