watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Handeni acheni kutelekeza familia

    Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tunaofanya kazi kwenye mradi wa SGR tunachangamoto ya kutolipwa madai yetu

    Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), hususan wanaofanya kazi katika mradi wa SGR, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutolipwa madai yao kwa muda mrefu, kuanzia kipindi cha ujenzi hadi hatua ya uendeshaji wa reli. Watumishi wengi hutumwa kufanya kazi nje ya vituo vyao, lakini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tulioajiriwa Novemba 2024 Wilayani Muheza bado tunasubiri fedha za kujikimu. Halmashauri inasema inasubiri pesa katika ushuru wa machungwa

    Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo. Baada ya kufuatilia suala hili, uongozi ulituelekeza kuandika barua za madai. Tulifanya hivyo, lakini barua hizo zimebaki kwenye...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rukwa: Hatma ya Watumishi wa RUWASA waliokuwa Idara ya Uchimbaji haijulikani

    Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na mashine zote za uchimbaji kukabidhiwa ofisi za Bonde, na ikisemekana kwamba baadhi ya Watumishi itabidi...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya RAS mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho muda mrefu bila kufafanyia kazi

    Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS. maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado yanasomeka yapo kwenye ofisi yake. NInaomba kama RAS atakua amempatia mtu jukumu hilo la kimfumo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO VETA kuna tatizo kubwa katika malipo ya Watumishi, hawalipi kwa wakati kabisa

    Tuliitwa Dodoma kuhudhuria semina elekezi, tukasafiri kwa gharama zetu na tukakaa Dodoma siku tatu kwa gharama zetu na hatukulipwa gharama hizo kama inavyotakiwa kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma. Tulipewa barua za kuelekea kwenye vituo vya Kazi, nilihamisha familia kutoka Karagwe kwenda...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ‘Watumishi wa Kujitolea’ wanaotumika na Ofisi za Ardhi Manispaa ya Sumbawanga ni kero kubwa kwa wananchi

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa halmashauri ya Nachingwea tunapitia changamoto nyingi ikiwemo kucheleweshewa posho za vikao

    Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati. Kuna...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wasiokunywa pombe ni wanafiki na hujipendekeza kwa mabosi ili kupata upendeleo

    Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki. Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu. Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa katika mikopo inayotolewa Hazina kwa Watumishi ngazi ya Halmashauri ya Kakonko

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

    Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…