watumishi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kekundu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fanyeni uhamisho wa Maafisa Utumishi wa Halmashauri, waliokaa muda mrefu utendaji wa kazi kimazoea

    TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea. Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia asilaumiwe kwa utendaji mbovu wa watumishi wa Serikali

    Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa na kufanya tathmini ya hali ya utendaji wa kazi wa watumishi wa serikali katika mikoa ya Tabora, Arusha na Dar es salaam ambapo mitandao ya kijamii inaonyesha namna wakuu wa mikoa wanavyotekeleza majukumu yao ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

    Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine...
  6. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
  8. Mwadu Nkuva 2

    JamiiForums Tanzania KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  9. Abdusmigo

    JamiiForums Tanzania Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  10. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali fungeni mikanda msitegemee OC kuingizwa Novemba

    Ni moto kila idara na njaa, sio kawaida tunakwenda robo ya pili ya mwaka wa fedha hakuna activities zinakwenda. Kilichobaki ni kukopwa tu kazi hawatoi posho zaidi ya hela ya mafuta, nayo itakata. Amkeni, amkeni, hamasisheni watu walipe kodi la sivyo mtachanganyikiwa muda sio mrefu kwa madeni...
  12. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ni aibu, kwa familia ambayo wazazi walikuwa watumishi wa serikali lakini hakuna mtoto aliye serikalini?

    Nauliza hili swali niweze kupata viewpoint yenu maana kuna baadhi ya watu nawashangaa wanasema watoto wameaibisha wazazi wao ila mimi naona hawapo sawa kwasababu kazi hazirithishwi, Nyie mnaona vp? baba alikuwa ni engineer shirika kubwa tu, Mama alikuwa ni Muhasibu taasisi flani ya mambo ya...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kinachofanya watumishi wa Serikali Tarime/Rorya kuuwa na wananchi ni hiki hapa.

    Angalia kwa umakini
  15. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali wa Kigalatia wanasali mara tatu kila siku, Mungu awasaidie waache Rushwa!

    Nimeshuhudia pale KKKT Azania Front na Anglican church St Albans Jumatatu hadi Ijumaa Watumishi wa Serikal wanajaza Kanisa Asubuhi, Mchana na Jioni. Hali hii nilizoea kuiona kwa wale Islam wanaoswali Swala 5 lakini sasa Wakristo ndio wanaongoza kwenda Ibadani Hasa Wagalatia wa TRA, RITA na...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kituko Serikali ya Kongo DRC: Ina watumishi wenye umri wa miaka 100 ambao hawajastaafu

    Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

    Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani. Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
  19. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali DSM ni lini wataacha kuwa "wahuni"?

    Wote wamepewa fedha sawa kwa darasa moja (Mil 20). Ninavyosikia (Sina uhakika), vifaa vya ujenzi (Nondo, bati, Cement) DSM ni nafuu zaidi kulinganisha na mahali kama Bukombe kutokana na umbali kutoka viwandani. Lakini nikiangalia viwango vya madarasa katika picha hapa chini inaonesha kabisa...
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Hakuwa mkweli kuhusu Mafao ya PSSSF kwa watumishi wa serikali walio staafu

    Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
Back
Top Bottom