watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi

    Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza. Pia Soma: Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana Ameandika...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu ataka Serikali itoe majibu kuhusu masuala ya Utekaji wa Watu

    Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na lilitakiwa kujibiwa na Naibu Waziri Daniel Sillo. Lakini Spika wa Bunge Dkt...
  3. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeleta vurugu kwenye mkutano wa Waziri wa Afya adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa hospitali

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa kupata upasuaji wa goti. Kwa mujibu wa familia yake, watu wasiojulikana waliotumia gari aina ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amzawadia TSh Milioni 5 aliyewaokoa Watumishi wa TRA waliovamiwa Tegeta

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta Jijini Dar es salaam wakati wakitimiza wajibu wao baada ya kuhisiwa kuwa ni Watekaji. Rais...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

    Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Waiba gari, kichanga na kuwatumbukiza wazazi kwenye shimo la choo

    Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo. =================== Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Hisia zangu naona Soka hayuko hai, ameuawa

    Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema: "Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai, ni bahati mbaya sana kuwa na hisia hizi, hakuna Serikali inaweza kumshikilia mtuhumiwa mtoto kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo awataka Watanzania wote kuungana kukemea utekaji

    Mwenyekiti wa ngome ya vijana akizungumza na waandishi wa habari leo January 9,2025 amesema kuwa “Naomba niwaambie watanzania suala la ulinzi na usalama ni jambo ambalo tunapaswa tuungane kwa pamoja kupaza sauti zetu kupinga kukemea haya matendo. Na wala tusiseme kwamba haya matukio yanatokea...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

    Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia jana. Mbali na hilo, Jeshi la Polisi limesema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya nyumba...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

    Wakuu Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji...
  11. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  14. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  15. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuanze Kujilinda na Watu Wasiojulikana

    Majumbani kwetu tuwe na sime, panga, rungu na mbao zilizopigiliwa misumari(kutega kwenye tairi pindi gari la wasiojulikana linapoanza kuondoka likanyage tairi litoboke). Tujitahidi kwenye makazi yetu tuanze kufunga CCTV Camera. Kwa wale ambao hatuna uwezo wa kumiliki bastola basi tutembee na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya viongozi wa CCM kuanza kushambuliwa na kuuawa wa kulaumiwa ni CCM na serikali yake, wameyalea kwa muda mrefu na sasa yanawageukia

    Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu. Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

    Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni sehemu ya watekaji, Mungu amenionesha kiama chenu

    Wakuu salama? Niwasalimu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wana - JF. Mada hii fupi sana: Kama wewe ni sehemu ya watekaji tubu na jiandae, Mungu amenionesha pigo kubwa juu yenu. Akinionesha mfano wa mmoja wenu ambaye ni mtekaji, alifika mahali tulipokuwa ambapo ilionekana kuna watu wengi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

    Ni habari katika picha
Back
Top Bottom