watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi tutunze afya za watoto wetu kwa kuwa wasafi

    Usafi ni moja ya nyenzo bora za mtu kuwa na afya njema. Ili mtu awe na afya bora, hana budi kuzingatia usafi wa mwili, mazingira anayoishi na anavyokula. Usafi wa Ngozi: Pamoja na kazi nyingi, ngozi hufanya kazi ya kulinda mwili dhidi ya vimelea vya magonjwa. Tunashauriwa kuzitunza ngozi za...
  2. JamiiForums Tanzania Shambulizi la jeshi la Nigeria lawaua watoto 7 Niger

    Watoto saba wamekufa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulizi la angani nchini Niger hii ikiwa ni kulingana na gavana wa jimbo moja nchini humo Shambulizi hilo lililofanywa na vikosi vya Nigeria katika eneo la mpakani lilikuwa likiwalenga majambazi lakini badala yake liliwaua na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

    Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
  4. JamiiForums Tanzania Mtayarishaji wa Kipindi cha Watoto TBC ana ubaguzi

    Mtayarishaji wa kipindi cha watoto hafai kwa sababubu anapendelea shule za kiislaam tu. Kila jumapili kipindi cha watoto utaona amechagua shule au watoto wa kiislam tu. Utakuta wahusika wamevaa wote hijab kama yeye. Tunataka atambue wazazi walio nyumbani sio wote wanataka watoto wao kuoa aina...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosa upendo Kwa Mumewe, huutafuta Upendo Kwa watoto

    MWANAMKE AKIKOSA UPENDO KWA MUMEWE, HUUTAFUTA UPENDO KWA WATOTO. Anaandika Robert Heriel. Yule Mtibeli. Je uliwahi kusikia maneno Kama hayo hapo chini? Mama Mkwe kichomi! Mama Mkwe anaingilia ndoa yangu! Mawifi wanakera balaa! Mawifi hawanipendi! Bila Shaka wengi wetu tangu tungali wadogo...
  6. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili waunda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto

    "Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto Muhimbili. Anaendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Dr. Mzuri: Wanaotaka Watoto wa kike wanaojiingiza kwenye Mapenzi wakiwa na Miaka 15 Wafungwe Gerezani wanakosea sana

    Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
  8. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani kila mwaka

    Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi nani kawadanganya watoto wenu wa kike na kiume hawanyanduani?

    Mzazi ukiwa Na watoto wa kike Na watoto wa kiume walio fikia umri wa balekhe hakikisha unaweka ukuta Kati Yao ili usije kupata hasara. Dunia ya Sasa hivi watu hawana maadili kabisa. Maadili ni kama yalisha kufa Na kuzikwa.. Kama una Mtoto WA kike ameisha vunja ungo hakikisha unamwambia asikae...
  10. JamiiForums Tanzania Ubinafsi tunaofanya kwa watoto wetu unasikitisha

    Kwa jinsi nilivyo na haraka nikusalimu kifupi tu, Uhali gani? Baada ya kukaa kuwaza nimekuja kujua wengi wetu ni wabinafsi sana, na wengine hata hatujui kuwa tunachofanya ni ubinafsi wa kutisha. Wewe unajiona kabisa una familia au niseme mtoto ili uelewe vizuri, ila still una mawazo mgando ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

    Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa Kiafrika ni Wajinga.?

    Thread Hii kwa Hisani ya DK YAHYA MSANGI (PHD)-WEST AFRIKA. Ukiishi na wazungu utabaini jinsi vitoto vina uelewa. Na ndio maana wengi hupata digrii ya kwanza kabla hajavuka Miaka 18. Miaka 25 tayari wana PhD! Watoto wa kiafrika digrii ya kwanza sio chini ya Miaka 25! PhD inasomwa uzeeni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mamia ya watoto watoweka jela nchini Syria

    Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao. Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

    Mirathi ya marehemu Dkt Mengi imezua balaa baada wasimamizi wake kuburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukataa kuwahudumia watoto wa Mengi aliozaa na Jacqueline Ntuyabaliwe. Kesi hii imefunguliwa ikiwa mke huyo mdogo wa Mengi akiwa amezuiwa kukanyaga Kilimanjaro hata kwenda kusafisha kaburi la...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna baba ambaye hataki kuona watoto wake wote wanamtii, wanamheshimu na wanafanikiwa, tukubali tu kuwa kuna mapungufu

    Habari! Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana. Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni; - Baba(mzazi) -Muweza wa yote -Yupo kila pahali -Anajua yote --Muumba -Mwenye huruma. *****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

    Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia. Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoka watoto wangu kusomeshwa 'eat more, the slogan say' kila siku!

    Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni: A freedom song Development n.k Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto wangu nao habari ndo hiyo hiyo; eat more, the slogan say! Hv watunzi wameishaaa au? Wataalamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…