watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Idadi kubwa ya watoto katika familia hudumaza uchumi wa familia

    ''Penye miti mingi, hapana wanjenzi'' Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi. Tukiongelea suala la miti...
  2. D

    Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  3. J

    SoC02 Tulinde kizazi cha watoto wetu wa kiume

    TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu, lakini pia nimshukuru Mungu kwa kuumba jinsia mbili hapa duniani, yaan jinsia ya kiume na jinsia ya kike, na zaidi ya hapo amegawanya majukumu ya kufanya kwa kila jinsia katika...
  4. L

    Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  5. L

    Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  6. Watoto wanne wauawa kwa mashambulizi ya mabomu Gaza

    Watoto wanne na Wanamgabo kadhaa wa Palestina wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Ukanda wa Gaza ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa mashambulizi kutoka kwa vikosi vya Israel. Israel imeonya kuwa mashambulizi yake hayo yanaweza kuendelea kwa muda wa wiki moja, ambapo...
  7. Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

    Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa. Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
  8. S

    Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  9. E

    SoC02 Unyanyasaji wa Wenza Majumbani: Inatosha! Tuwafikirie watoto wetu

    Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii. Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
  10. Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
  11. A

    SoC02 Hili la madarasa ya giza, tufanye kitu kunusuru watoto wetu

    Abeid Abubakar Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa kukosa huduma za macho, huku akiweka bayana kuwa ni watu milioni moja pekee wanaopata huduma hiyo...
  12. Mama wa watoto watatu waliotelekezwa Ulanga ajisalimisha Polisi

    Kabla ya habari yenyewe chini huyu mama amerudi kwa sababu amepata habari watoto watajengewa nyumba ya kisasa na watasomeshwa na mzungu mmoja anayechimba madini ya graphite. Ushauri wangu kwa polisi na mahakama msameheni huyu mama alee watoto wake maana mkimfunga mtawazidishia watoto machungu...
  13. Umuhimu wa wanasesere na michezo mingine ya watoto katika sehemu za huduma

    Michezo inasaidia watoto kuwachangamsha, kuwapa ubunifu na kuwafikirisha. Katika duniani ya mtoto mwana sesere si tu kifaa cha michezo bali anaweza kuwa pacha wake kimawazo, atataka ale nae na alale nae. Wazazi wengi kutokana na ugumu wa maisha au kutokujua hawaoni umuhimu wa kununua vifaa vya...
  14. SoC02 Ushindani na hamasa katika kukuza vipaji kwa watoto

    Utangulizi Ushindani ni namna ya kupima uwezo, uzuri, uimara, umaridadi, au ubora baina ya pande mbili kwa kutumia vigezo takikana. Ili kupata mshidi husika vigezo huzingatiwa kupima pande zote mbili. Kupima uwezo wa akili kwa mtu, ujuzi, wake katika Nyanja Fulani lazima akidhi na...
  15. Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
  16. L

    SoC02 Tuwalinde Watoto dhidi ya ukatili wa Kijisia

    TUWALINDE WATOTO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA. Utangulizi Ni dhahiri kwamba ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini ni tatizo linaloumiza hisia za wengi hasa kwa kuzingatia ongezeko la taarifa kuhusu visa vya namna hii kwenye vyombo vya habari na jamii kwa ujumla ambapo tunasikia ukatili wa...
  17. Utafiti: 57% Watoto wachanga ndio wanaonyonyeshwa inavyotakiwa chini ya umri wa miezi 6

    Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama na kwamba asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Mwanaidi Khamis wakati akimwakilisha Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu...
  18. Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

    MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO). Anaandika, Robert Heriel. Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano...
  19. A

    SoC02 Watoto wenye mahitaji maalum na elimu

    Ikisiri Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala hii nimeeleza changamoto zinazowakumba watoto wenye mahitaji maalum katika sekta ya elimu pamoja na...
  20. Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…