watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Wakuu, Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani. Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto la Wagner waliorudi nyumbani, wengine wanabaka watoto, hawaachi asili yao

    Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka watoto wadogo wa hata umri wa miaka 10, Urusi inapitisha sheria ya kuwahasi.... One brutal alleged...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mtahabwa: Wazazi na Watoto wao wawe pamoja na kushirikiana, la sivyo mzazi anajiandalia bomu

    Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema anaiona Tanzania ya neema ya watu wanaojitambua na wanaoshirikiana kupitia Montessori. Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 26 la Wana-Montessori Community of Tanzania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda Watoto wenye ulemavu katika dunia ya kidigitali?

    Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali. Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Mpatie mwanao laptop za kisasa za watoto ili zimsaidie katika masomo yake

    Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru. UWEZO WAKE: √ Zinatumia mfumo wa Android √ Ni Touch screen √ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7 √ Masomo ya sekondari O-level √...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watoto zaidi ya 40 wauawa katika shambulizi

    Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo. Shambulii hilo limetokea katika Shule ya Sekondari ya Lhubirira ambapo baadhi ya waliouawa wamekatwakatwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake tuelezeni sababu zinazowafanya mtubambikizie waume zenu watoto wasio wetu!

    Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi wenu. Mimi nipo kwenye tatizo la mke wangu kuwa na matumizi makubwa nikajua labda mimi ndiye nina...
  10. JamiiForums Tanzania Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tunaweza kujilinda dhidi ya utamaduni wa Kimagharibi

    Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani

    Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani? Unayakumbuka majina mabaya...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu. (Photo)www.ipp media. com Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tulia, Nape na wengineo, huko mbeleni mnaweza kushuhudia watoto na wajukuu zenu wakikosa ajira katika bandari zetu huku Waarabu wakipeana ajira

    Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

    Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo kutoka kwenye kikosi cha waokoaji. Watoto hao 4 walipotea mwanzoni mwa mwezi wa 5 baada ya ndege...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tusimame kwenye nafasi zetu katika malezi ya watoto, ajira kwa watoto ni ukiukwaji wa haki za watoto

    UTANGULIZI. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…