watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

    Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe. Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapungufu yaliyopo katika malezi ya watoto na nafasi ya wataalam

    Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo kutupatia aina za malezi ambazo ni kulingana na maisha yetu na utamaduni. Mara nyingi tumekua na kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mbegu ya uzalendo kwa watoto: zao la uwajibikaji na utawala bora kwa taifa

    Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na namna babu zetu walivyo pigania uhuru lakini pia alipenda kusoma magazeti. Siku moja nikiwa nje...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

    Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam. Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wahudumu wa baa kuhudumia huku wamebeba watoto mgongoni limekithiri. Watoto vichanga wanaathiriwa ma muziki mzito

    Kila mara nikimaliza kuuza kangala na kupiga soga na walimu ambao ni wateja wangu. Ambao nao wanakasumba ya kubugia kangala huku wanapapasa matablet waliogawiwa na rais Samia huwa naenda baa kupiga lager mbili tatu. Cha ajabu huwa nakuta wahudumu wakiwa baa na watoto mgongoni huku mziki mnene...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuomba nyimbo zenye chorus zilizoimbwa na watoto!!

    Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi; 1. I'm a thug ya Trick Daddy 2. I can ya Nas 3. Fabulous ya Jaheim 4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina. Tafadhali tupieni nyingine..........
  9. JamiiForums Tanzania Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

    Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k. Shule hizi kwa nchi nzima zinaweza zisifike 30, Kwa Dar jiji...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu, mwanamke anayejitolea kukumbatia watoto niti waliotelekezwa katika Hosptali ya rufaa ya mkoa Amana jijini Dares Salaam. Ajira hiyo imekuja siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi wanaolipaga polisi wawapigie watoto wao huwa wana lengo lipi?

    Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza. kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam. Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

    Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa? Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ? nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wameanza kuhamasisha watanzania kumiliki nyumba Dubai?

    Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha wanazopiga wanazipeleka wapi mboni hawana business tofauti na kumiliki maghorofa? Au ndio...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mdhalilishaji watoto wa kiume Oysterbay yupo wapi siku hizi?

    Kwa wale walio sali lile kanisa pale Obay na waliofanya mafundisho ya Kommunio ya kwanza na Kipaimara, nadhani mtakuwa mnamkumbuka mwalimu moja wa mafundisho hapo, aliye kuwa ana uliza maswali ya kudhalilisha anapo kufanyia usalihi na wengine walisema wali nyanyaswa kingono naye. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…