watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

    Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto

    Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto. Mkaguzi huyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

  4. JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

    Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

    Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu. Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism. Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Matukio ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kuiba watoto, kisha wanapopelekwa polisi kesi inaisha kimya kimya, tueleweje?

    Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi kwa mahojiano, ila polisi hawataoi mrejesho juu ya kinachojiri baada ya mahojiano, tueleweje? Mtaani...
  11. JamiiForums Tanzania English Medium mnawachosha watoto wetu.

    Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni pamoja na maji ya baridi ili kuzimua akili ikae mguu sawa. Huwa nachukua nusu saa tu kujiandaa na kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  13. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023

    Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023 Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume. Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii? Source...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wanasemaga watoto ni malaika wa nani vile

    Kibo chandede
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  17. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga

    Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku. Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  19. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia

    Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu. App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…