watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayesakwa na FBI kwa biashara ya ngono kwa watoto akamatwa

    Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu amekamatwa Ufilipino. Apollo ambaye kanisa lake la Kingdom of Jesus Christ (KOJC) linadaiwa kuwa na...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

    Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi) 4.Hawezi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Achezea bakora kisa kuwafungia watoto ndani na kwenda kulewa

    Mwanamke mmoja alipata adhabu ya viboko baada ya kuacha watoto peke yao nyumbani na kwenda kulewa. Kitendo chake kilizua hasira kwa jamii, kwani alionyesha uzembe kwa kuwatelekeza watoto, hali ambayo ingeweza kusababisha hatari kubwa.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

  5. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
  8. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jamani wazazi wapeni watoto mitaji hata ya kubetia

    Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado, Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

    Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium. Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa. Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uporaji viwanja vya michezo vya Shule, ni unyanyasaji wa watoto

    Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi. Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

    TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mna watoto? Mkirudi nyumbani watoto wenu mnawatazama vipi?

    Hivi nyie watekaji na wauaji mna watoto ? Mkirudi nyumbani watoto zenu mnawatazama kwa macho gani ? Watoto nao wanasema baba/mama ametoka kazini. Kazi gani ya kutesa na kuua wenzako ? DAMU YA DEUSDEDITH SOKA (DEO) Siku ya Jumatano ya tarehe 21 August 2024 nilikuwa maeneo ya Buza pamoja na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Wanawake wanaong'ang'ania Watoto huku hawawezi kuwatunza ikomeshwe. Ni ukatili Kwa Watoto

    TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu. Ukatili, maumivu, mateso na uharibifu wa Ndoto za Watoto wengi zilizotokana na ubinafsi mbaya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

  17. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na watoto wa kambo?

    Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR, Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje? Mfano. Juzi nimembeba mtoto akawa analia kwa sauti mama alikuwa na kazi zingine ikabidi nimwambie njoo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
Back
Top Bottom