watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uzazi: Kulala chali huongeza hatari kwa Wajawazito kuzaa Watoto Njiti

    Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya. Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
  2. JamiiForums Tanzania Malezi ~ Wazazi wana hadhi sawa katika malezi ya watoto

    Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao? Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
  4. JamiiForums Tanzania Kupeleka watoto wa miaka2 hadi miaka10 shule za bweni kwa wazazi tujitafakari sana

    Kumekua na ongezeko kubwa la wazazi kukupeleka watoto wadogo kuanzia chekechea. Kweli wazazi tumekua na majukumu mengi huku usaidizi katika malezi ukiwa changamoto kubwa sana. Lakini kwa niliyoyaona na kuyasikia wazazi tujitafakari tena, watoto wengi wanaopelekwa bweni wanateseka mnoo. Wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  6. JamiiForums Tanzania Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi (zaidi wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend? How do you find it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend au uliwahi kushawishiwa kuoa/kuolewa katika familia rafiki? How do you find it...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: Watoto takriban milioni 2 hufia tumboni mwa mama kila mwaka

    Mashirika ya kimataifa yamesema takriban watoto milioni 2 wanafia tumboni kila mwaka. Shirika la Afya Duniani, WHO, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto, UNICEF, pamoja na washirika wake wamesema vifo hivyo vinatokea zaidi kwenye nchi zinazoendelea. Kwa mujibu wa takwimu za dunia...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali upande wa elimu irasimishe vituo vya watoto chekechea kufundisha hadi darasa la 3 ndipo wajiunge na shule za msingi kuendelea darasa la 4

    Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Anayestahili kulaumiwa kosa la watoto wadogo wa shule kubebwa mshikaki kwenye bodaboda

    Pamoja na kwamba Sensa haifanyiki siku hizi! Wacha nijikite kwenye mada tajwa! Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watoto wadogo wa shule kubebwa zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja (mshikaki). Kitendo hiki kinahatarisha Sana usalama wa Watoto hao lakini Je; Anaestahili kulaumiwa hapo ni Nani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachofanya CCM na Magufuli ni udhalilishaji kwa Watoto

    Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto. Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na Serikali ya CCM kumburudisha Magufuli na kuvutia umati kwene Kampeni. Shame on you CCM.
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

    Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali. Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Malezi ya Watoto Njiti: Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto

    Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii...
  15. JamiiForums Tanzania Malezi: Nani anawajibika na jukumu la kujenga maadili ya watoto wetu?

    Sisi wananchi tumekaa kimya tukiangalia watoto wetu wakifanyiwa vitendo vya kidhalimu na unyanyasaji mitaani na vijiji katika mamlaka zote za serikali za mitaa. Tumekaa tu na kukubali aina hizi za matukio kama vile ni mambo ya kawaida, wakati kwa kweli ni msiba wa kitaifa wa maadili. Wapo...
  16. JamiiForums Tanzania Duka la nguo za watoto au Fundi mzuri wa Nguo za watoto wa kiume (official wear)

    Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location. Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za...
  17. JamiiForums Tanzania Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

    Poleni na majukumu wakuu Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani namaanisha uwe na tigo pesa,m pesa, Airtel money na hallo pesa, yaani hii ni njia ya uhakika na salama...
  18. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni baba au mama acha kuwanunulia watoto hii midoli ya aina hii hata walie vipi

    Mara nyingi wazazi huchangia kuharibu watoto wao wenyewe, kupitia midoli hii nakuhakikishia kwamba, mwanao si salama. Inachochea tamaa ya ngono hata kwa wakubwa maybe hujawahi kuishika japokuwa unaweza kuta haina maumbile maalumu ya uzazi kuna hamasa unapata. Kifupi haifai kwa watoto na usije...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia 8 za wazazi ambazo huenda zikawafanya watoto wasifanikiwe vizuri kimaisha

    Waswahili walisema, “Kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana”. Kama mzazi ni jukumu lako kuhakikisha mwanao anakua katika mazingira mazuri na elekezi ili kumfanya awe ni mwenye hekima kuanzia mdogo mpaka kufikia utu uzima wake. Kumkuza mtoto mdogo awe vile unavyotaka kupitia muonekano wako au mtazamo...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: TAMWA yasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu

    Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu. Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…