watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wenye supermarkets, maduka, matumizi binafsi ya watoto home nina supply hii biskuti 😋

    Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wilaya ya Karatu ina matukio ya ubakaji wa watoto unaojirudia kila mara?

    Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo. Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Watoto chini ya umri wa miaka 18 hawatachanjwa

    Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
  4. JamiiForums Tanzania Makundi ya Watoto kutokana na tabia zao

    1. Mtoto mtulivu, mkarimu Huyu ni mtoto anayewaamini wazazi na watu wanaomzunguka. Utulivu wake unasababishwa na kujiona yu katika mazingira salama na hivyo hana wasiwasi. Kutokuwa na wasiwasi kunamfanya asiwe mgomvi wala msumbufu na hivyo hana tabia kulia lia bila sababu. Kulia kwa watoto mara...
  5. JamiiForums Tanzania Facebook yashutumiwa kusababisha athari kwa watoto

    Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto. Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
  6. JamiiForums Tanzania UNICEF: Mtu 1 kati ya 5 duniani (umri wa miaka 15 - 24) hupata Msongo wa Mawazo

    Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka. Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
  7. JamiiForums Tanzania Geita: Jiko la mkaa laua Mama, watoto wawili

    Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala. Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...
  8. JamiiForums Tanzania Bodaboda sio salama kwa watoto wetu wadogo - Mzazi mjali mwanao, ukimpeleka shule mbali mlipie schoolbus au mpeleke na kumchua mwenyewe

    Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao. Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

    Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe 06|01|2021 ==================================== Tanzania inajumla ya shule za sekondari 5,143 hii...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

    Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mjadala wa huduma na changamoto za Saratani ya Watoto katika club house ya JamiiForums

    KUSHIRIKI MJADALA HUU TAFADHALI GUSA LINK HII HAPA CHINI https://www.clubhouse.com/event/xlyWAOzz Mjadala huu unamulika huduma ya saratani kwa watoto pamoja na changamoto mbalimbali. Baadhi ya mambo muhimu yaliyozungumziwa na wataalamu. Dkt. Shakilu: Saratani kwa Watoto haina tofauti kama...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo; Je, tunawajibika ipasavyo kupambana na vitendo hivi?

    Kumekua na matukio mengi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wetu wa kike na wa kiume. Kwa ujumla yapo matukio mengi ya kikatili kwa watoto lakini katika makala hii nitazungumzia zaidi ubakaji na ulawiti kwa watoto wa kike na wa kiume. Katika hali ya kusikitisha sana matukio haya yamezidi...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto waliohitimu vyuo tusemezane kidogo

    Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato. Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa michezo kwa Watoto

    Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika kuelewa mambo. Pale watoto wanapocheza michezo ya viungo huwawezesha kuimarika misuli na kuwafanya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

    Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19 Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…