Kwanini wilaya ya Karatu ina matukio ya ubakaji wa watoto unaojirudia kila mara?

Mrkingcamel

Member
Jul 27, 2021
16
12
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo.

Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu sasa kuna kesi zaidi ya 12 za ubakaji wawatoto Karatu na asilimia kubwa wanaohusishwa ni madereva boda kwanini wao?

Hilo ni swali ambalo bado najiuliza naomba sana serekali iliangalie hili naamini kuna mambo ya kishirikina ndani yake kwani asilimia kubwa ya watu wa hapa wanaamini ushirikina kushinda mungu tuwe makini kwa hili.
 
Umekosea kulenga kundi la bodaboda.

Kati ya watu ambao nchi hii wamekuwa wahanga wa kuwekewa kila aina ya uovu ni bodaboda na machinga.

Tujifunze kuwa na fadhila hata ndogo kwa Hawa bodaboda.

Faida zao ni pamoja na:

1: Wanategemewa na familia zao.
2: Wanatuokolea muda kwenye madili.
3: Wanatufichia Siri za michepuko.
4: They offer cheap and affordable services.
5: They are almost everywhere hence kurahisisha maisha kwa namna Fulani.

Wachache wasiwaharibie waliowengi tukawahukumu wote.
 
Back
Top Bottom