wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

    Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa. Ninavutiwa na hao wanaoingiza mbao kweye mapipa marefu yenye maji maji ya rangi ya kijani. Najiuliza kwa nini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja TANESCO kupitia namba 0748550000 ni Bomu la Nyuklia

    Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji mbovu wa watoa huduma kwa wateja

    Heshima kwenu wakuu. Leo nimeona tuzungumzie kuhusu baadhi ya watoa huduma kwa wateja kutoka kwenye makampuni/biashara mbali mbali wanavyosababisha kero kubwa kwa wateja wao kutokana na uwajibikaji wao mbovu kabisa! Niliwahi kusikia malalmiko mengi sana kutoka kwa watu tofauti kuhusu kupewa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa flakes /chenga au mchele wa plastic

    Habari wadau !! Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili (legal advocates) tendeni haki kwa wateja wenu, wambieni ukweli wa mashauri yao

    Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa. Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  10. JamiiForums Tanzania Bwana na Bibi Afya acheni kukaa maofisini piteni migahawani, wanachakaza afya zetu kwa tamaa ya faida kwasababu hawadhibitiwi wala kushitakiwa

    Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi. Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
  11. JamiiForums Tanzania Sandile Shezi: Tajiri Mtoto wa South aliyekimbia na Mamilioni ya Rand ya Wateja wa Forex

    Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know about SA’s youngest millionaire As The South African reported in the final months of 2021, Sandile...
  12. JamiiForums Tanzania Maboresho ya bandari yanavyovutia wateja wapya

    MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na kuvutia wateja wapya zikiwemo nchi jirani. Akizungumza, Mkurugenzi wa Bandari Mrisho Mrisho...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  14. JamiiForums Tanzania Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  16. JamiiForums Tanzania Masekretari wengi wa ofisini wanaliwa na mabosi ndio maana wanadharau wateja

    Habari za asubuhi Wana JF, Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi. Nilienda field mkoa X ofisi niliofikia kulikuwa na secretary mmoja she is beautiful Ila alikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

    Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi mabovu yalivyoifilisi benki ndani ya saa 48, wateja waliomba kutoa dola bilioni 42 kwa siku moja(Mara mbili ya bajeti ya Tanzania)

    Silicon Valley Bank inayosifika kuwa muhimu kwa kampuni za kiteknolojia hasa zinazoanza na kukua imedondokea pua na kuwa benki ya pili kubwa nchini Marekani kudondoka tangu kumaliza kwa mdororo wa uchumi wa mwaka 2008. Mdororo wa 2008 ulianzia nchini Marekani baada ya mabenki mengi kuporomoka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  20. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja na Business Partners

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…