wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Costco Shoppers yashtakiwa ikidaiwa kuingilia taarifa za wateja wao na kuzituma Meta kwa nia ya matangazo

    Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia. Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa uhakika wa Asali

    Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Zuku na Airtel hushirikiana kusumbua wateja?

    Hii itakuwa ni zaidi ya mara tano au sita kusumbuliwa na hawa jamaa, Iko hivi kin'gamuzi cha zuku kimeisha, wanakutumia msg zaidi ya kumi kwa siku wakikutaka ulipe fasta ili usikose huduma,na kwa kuzingatia siku hizi kila kitu ni internet. Unajikamua kupitia airtelmoney unalipa shs 69,000/=...
  5. JamiiForums Tanzania Hiki wanachokifanya Tigo ni kero kwa wateja

    Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa. Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka...
  6. JamiiForums Tanzania Halotel wanaibia wateja!

    Salaam Kuna vitu siku hizi sivielewi na huu mtandao. Nimeviona mara kadhaa nikabaki kujiuliza na sina jibu. Unanunua bando la internet ila hawa washenxi wanakula bando lako zaidi ya 30% hujui limeenda wapi. Kuna watu watakuja kuniambia simu yangu kuna app zinarun kwenye background!. Hili ni...
  7. JamiiForums Tanzania Star TV mnatukosea sana wateja wenu

    Tunaangalia nondo zinazoshushwa na mdau katika kipindi cha tuongee asubuhi halafu mnatukatili kwa kukata matangazo, muacheni mama Abdul apewe za uso.
  8. JamiiForums Tanzania NIC yajivunia kuwafikia wateja zaidi

    Shirika la Bima la Taifa (NIC) linajivunia kumudu ushindani licha ya kuwepo na Makampuni zaidi ya thelathini kwenye soko la Bima Tanzania, imeweza kumudu ushindani kwa kufanya vizuri baada ya Shirika hilo kufanya maboresho tangu mwaka 2019. Kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Bima Shirika...
  9. JamiiForums Tanzania Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  10. JamiiForums Tanzania Dawasa Kibaha yarejesha huduma ya kuunganisha maji kwa wateja wapya

    Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji. Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
  11. JamiiForums Tanzania Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded DAWASA Kibaha Wamesitisha Huduma ya Kuunganisha Maji kwa Wateja wapya

    Habari za leo ndugu zangu? Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo. DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa. Wadau...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa wasio na mchanga kupendwa na wateja

    Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  14. JamiiForums Tanzania Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

    Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja? The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari" The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya 'madada poa' nchi za nje wanatumia tattoo zenye QR code kufanyiwa malipo ili kuepukana na wateja wezi

    Hello bosses and roses... Kwenye harakati zangu nimesikia matumizi ya teknolojia ambayo yameniacha mdomo wazi kwakweli, moja wapo ni hili. Kuna rafiki yangu yupo huko nchi za watu alinambia kwamba huko madada poa wameacha kupokea cash sababu wateja wengine ni wezi, hivyo wanachofanya wanakua...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia 9 zinazokimbiza Wateja wako

  17. I

    JamiiForums Tanzania Halotel waache uhuni wa kuwaibia wateja

    Wasalam wadau wote. Nachukua fursa hii kuitahadharisha kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kuacha kabisa hii tabia ya hovyo wanayofanya ya kuwaibia wateja wake. Kampuni hii ina tabia moja ya hovyo sana kwamba wakiona una GB nyingi kwenye simu yako na unataka kuongeza tena salio kwa kuongeza...
  18. JamiiForums Tanzania Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hali ya kutokuwepo, kutokufahamika au/na kutokutumika kwa mkataba wa huduma kwa wateja kwenye taasisi nyingi inavyochochea rushwa na kutokuwajibika

    Mkataba wa Huduma kwa Wateja ni nyaraka muhimu inayoweka bayana huduma zote zinazotolewa na Taasisi husika, muda unaotumika kutoa huduma hizo pamoja na viwango vya huduma vinavyopaswa kutolewa kwa wananchi. Mkataba wa Huduma kwa wateja ndio nyaraka inayoeleza kwa kina aina zote za huduma...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…