watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

    Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Golugwa: Watawala lazima wachukue hatua za kidharura si kulalamika bei zimepanda hata majirani zetu, Manufaa ya akiba iko wapi?

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko wapi ikiwa wananchi hawanufaiki nayo? Ameongeza pia, Mamlaka zinatakiwa ziondoe Kodi iliyopelekea...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watawala wameshawaona watanganyika kuwa ni takataka, unaweza kuwa-treat kama magunia ya viazi..Lumpen proletariats

    Haya yanayofanywa na Zanzibar dhidi ya TANGANYIKA ni wazi wameshatuona kama sawa na magunia ya viazi mviringo ambayo unaweza kuyaviringisha unavyotaka! The whole 64 + millions Tanganyikans ni Lumpen Proletariats! Lacking class consciousness and the inability to act as a unified political force!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
  6. JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  10. JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  11. JamiiForums Tanzania Watawala wafanye mariadhiano na reforms kwa future yao. Vinginevyo wanatwanga maji kwenye Kinu

    WATAWALA WAFANYE MARIADHIANO NA REFORMS KWA FUTURE YAO. VINGINEVYO WANATWANGA MAJI KWENYE KINU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Fikiria unapigana kufa na kupona kujenga future yako na kizazi chako ndani ya nchi yako. 2. Mungu anakubariki katika uhalali au uharamu wako unafanikiwa kujenga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matamko ya kishenzi shenzi na kibabe ya watawala haramu yalizikwa rasmi 29 October 2025

    Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ewe Mkristo Wakati Unasherehekea Christmas Ukiwa Katika Wakati wa Maonevu Mengi ya Watawala, Mungu Anakuasa Usishirikiane na Watawala Dhulumati

    Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala wale ambao ma.laka yao yametoka kwa Mungu. Lakini ufahamu kuwa shetani naye anajitahidi wakati wote...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge na wake za watawala waachie posho na mafao ya UKIMWI na NHIF

    Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini watawala wetu wanalazimisha amani wakati hawanayo hiyo amani?

    Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa. Kunawezekana kuwa na amani bila haki? Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika? Je, hawa wanolazimisha amani wanayo amani? Wanaijua amani bila kuijua haki? Je, amani ni nini na inasababishwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini tunatawaliwa na watawala tusiowajua

    Zamani, akichaguliwa au kuteuliwa mtu, lazima historia na maisha yake vijulikane, familia, elimu, maadili, umri nk Siku hizi, wanachomolewa watu wasiojulokana na kusikojulikana na kuteuliwa na kuendelea kukaa kwenye ofisi zetu. Mfano, nani anajua historia ya Waziri wetu wa fedha wa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu mwenzetu, imefikia hatua hata baadhi ya watu wakiona msiba unapita karibu yao basi husimama hii ni...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwahi kujiuliza nini kitatokea wanaharakati na wapigania Haki wakiungana na watawala?

    ULIWAHI KUJIULIZA NINI KITATOKEA WANAHARAKATI NA WAPIGANIA HAKI WAKIUNGANA NA WATAWALA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wanaharakati na wapigania Haki wanafanana kwa mambo mengi Sana na Watawala. Tofauti iliyopo ni upande tuu. 2. Ni kama Shetani na Malaika. Wanafanana karibu Kila kitu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano D9: resiliency pekee ndo itawatoa watawala

    Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…