Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????
1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???
2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
Ndugu zangu tegeni masikio hapa!
Katika enzi za mfalme mwenda zake!
Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana!
Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza!
Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia – simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini.
Mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkubwa, Hakainde Hichilema, alikuwa tu...
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake.
Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya...
"Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
Sijui tuko hatua gani kwenye diagram hii
FlipFact of the Day:
To this day, the topic of human evolution remains hotly debated.
Those who support the idea of natural selection typically find themselves in opposition to those who believe that humanity was purposely, intelligently designed by...
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala.
2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya...
26 May 2025
Oslo, Norway
WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM
MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!"
Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania, Maria Sarungi Tsehai, azungumza katika Jukwaa la Uhuru la Oslo kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji.
Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
Kipindi cha adolf alianza kuwatenganisha watu na wayahudi.
Kipindi cha idd amin alianza kudili na wasio kabira lake.
Kipindi cha mugabe alianza kuwafukuza wakulima wa kizungu.
Kipindi cha bashiri sudani alianza kuwatenga wasudani weusi.
Je hapa kama uraisi 2025 kaupata mnategemea ile...
Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao.
Kwa kifupi, kama kuna watu huwa wanasema watanzania huwa wanaandika lugha chafu mitandaoni, basi wakajifunze kwa Wakenya...
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa:
1. Tii sheria bila shuruti.
2. Hakuna uhuru usio na mipaka
Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...
Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama.
Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.