watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la Selandar eneo la mikoko

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la selandar eneo la mikoko. Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, amesema...
  2. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waliomsindikiza Wakili Mwabukusi Polisi nao wakamatwa. Yumo Mdude Nyangali

    Taarifa kutoka Mbeya zinaeleza kwamba baadhi ya watanganyika wazalendo waliomsindikiza Boniface Mwabukusi kwenda kuripoti Polisi, kama Wito wa Jeshi hilo ulivyomtaka, Wamekamatwa na Polisi, kupigwa pingu na kudhalilishwa. Baadhi ya majina yaliyotajwa kwa waliokamatwa kituoni hapo lipo la...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  6. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais ateua Makatibu Wakuu Watatu na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). ii) Amemteua...
  7. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  8. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  9. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu. Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watatu kortini kwa kumteka Mfanyabiashara

    Wakazi watatu wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kumteka mfanyabiashara. Washtakiwa hao ni Sufian Kidevu (30) mkazi wa Kizuka mkoani; Celestini Kamuli (32) mkazi wa Kizuka na mfanyabiashara Husein...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Just In: Wachezaji mahiri Watatu wa USM Alger FC jana hawakucheza Dar es Salaam kwa Mkapa

    Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya anasema aliyekufa ni Mmoja tu, ila Mashuhuda Wanaohojiwa wanasema ni Watatu je, tumuamini nani?

    Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
  15. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Watatu Mbaroni kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mgodi wa GGM Milembe Selemani

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu waliofanya mauaji ya mfanyakazi mmoja wa Mgodi wa GGM kwa jina la Milembe Selemani katika mtaa wa Matulole, Kata ya Buhalahala mkoani Geita. Aidha Mtuhumiwa wa nne (Pastory Lugodisha), baada ya kupata taarifa ya kukamatwa kwa wahalifu wenzake...
  16. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Bundi limetua act wagombea uraisi watatu wamefariki kulikoni

    Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia...
  17. Nguruka

    JamiiForums Tanzania TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto watatu wafariki dunia Simiyu

    Watoto watatu wa Shule ya Msingi Itubukilo B, Kijiji cha Pugu, Kata ya Itubukilo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wamefariki dunia Aprili 25, 2023 baada ya mkokoteni waliokuwa wakisafiria kusombwa maji ukiwa unavutwa na ng’ombe. Waliofariki ni Maleki Legi (16), Isaka Njile (14) na Wille Njile...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watatu wa familia moja waliofariki mafuriko Arusha kuzikwa Ijumaa

    Watu watatu wa familia moja kati ya wanne waliofariki juzi baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko, akiwemo mama, mtoto na mtoto wa kaka yake, wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Aprili 28, 2023 katika eneo la Ilboru, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Tukio hilo lilitokea jana Aprili...
Back
Top Bottom