There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Watu mnaosahau maumivu alituachia Magu na Polepole wake
1. Hakupandisha mshahara ya watumishi Kwa kipindi chake chote, kuwaondoa wafanyajazi wenye vyeti feki LAKINI kushundwa kureplace wengine wakati wamejaa mtaani. Nakushindwa kutoa Askari wenye vyeti feki
2. Mauaji ya kibiti na watu kpotea...
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa.
Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya.
Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa raia wao zimetuma ndege na mabasi mengi ili kusaidia kuwatoa raia wao wanaotaka kurudi nchini kwao kwa...
Hivi aliyetuloga ni nani????!!!!
Mtu anaakili kweli, mtu mzima kabisa anajua kabisa life limetyt mithili ya skin tyt na bado anapitisha michango ya kipuuzi.
Nani aliyetuloga waTz kuwa fantacies zako zitakuwa fullfilled with my poor pockets.Who are you!!! seriuosly GADEMIT!!!
Yaani unanifata...
Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania.
Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
Anonymous
Thread
ajira
eacop
hata
hivyo
katika
mradi
mwaka
mwaka 2021
mwaka 2026
mwisho
watanzania
wito
Inasikitisha, kile tunachofahamikia zaidi huko mitandaoni uwezo wa wadada zetu kukata viuno katika ngoma za asili "traditional twerk" lakini pia ni chudai za kuchimbuana mitalo bongo ndio inaongoza kama kiwanda namba moja africa
Ukija huku kwenye forums hakuna cha maana zaidi ya watu kutukanana...
Wahanga 12 wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wamewasilisha malalamiko ya kihistoria ya jinai nchini Kenya, wakiwashutumu wanachama wa kundi la RSF kwa kutenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Inaaminika kuwa hii ndiyo kesi ya kwanza ya aina yake chini ya sheria za...
Kwa muda sasa kumekuwa na mijadala na taarifa za baadhi ya viongozi Zanzibar kutoa kauli zinazoonekana kuwatenga au kuwashutumu Watanzania kutoka Bara, wakidai wanachukua ajira, fursa za kiuchumi au hata kupendekeza huduma zipatikane kwa kuzingatia asili ya mtu. Kama kweli kauli hizi zinatolewa...
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....
Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA
Watu wakaanza...
Kwa muktadha wa post hii wahusika ni Watanzania wa asili pekee, bila kuhusisha Watanzania wenye asili ya kuhamia kutoka nchi nyingine (waarabu, wahindi, wachina, wasomali, n.k)
Unapo observe demographics za watanzania wa asili ni rahisi sana kugundua kuna gap kubwa la kiuchumi kati ya waislam...
Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM)
NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr
Samia.
Nadhani UN...
baada
dunia
dunia nzima
hotuba
kazi
kimataifa
kuisha
lazima
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
speech
suluhu
urais
watanzania
Ni ujinga wazanzibari 4% ya Watanzania kupiga kampeni za kibaguzi!!! kwa 96%.
Wabunge kutoka zanzibar wameanza kampeni za kibaguzi na kumuita huyu VP fake Yuda. Sasa hii inaweza kuleta fikra za kibaguzi kwa Watanzania pamoja na uvumilivu ubaguzi kwa watanganyika ni mkubwa sana kipindi hiki...
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozo toka kwa spika.
Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya...
Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him
Huyu ni next to Lisu!
Msikilize
Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama...
Ni jambo linalotia matumaini kwamba hali duni inayolikabili taifa la Tanzania hatimaye imewagusa hata watu wa mataifa ya nje; si Ulaya Magharibi au Marekani pekee bali hata katika nchi za kiafrika na baadhi ya majirani zetu; hata kama baadhi yao hawsemi chochote hadharani kwa sababu...