watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mnakera hasa watanzania kwenye suala la mawasiliano

    Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ? Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  4. winnerian

    JamiiForums Tanzania Ipo shida kubwa kwa Watanzania na sio siasa za ccm wala watawala.

    Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
  5. PLOII

    JamiiForums Tanzania TUMEPOTEZA TROPHY YA CHAN2024 SABABU VIONGOZI WAPO BUSY NA UCHAGUZI; kipindi tunaomba Watanzania kujitokeza kuna watu wamejifungia sehem wanachaguana.

    Kwenye Mada kwa ufupi, Ushahidi wa hili , siku kama ya jana ilitakiwa Taifa lote concentration iwe Kwa Mkapa maana mambo ya Maendeleo tutawapa Waarabu na Wachina kama PPP lakini cha kushangaza kuna watu walijifungia sehem kutafuta kupitishwa nafasi ya Ubunge badala ya kuhamasisha Watanzania na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ili tukubali uongo wa Polepole, CCM, INEC, NIDA jitokezeni hadharani

    Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura. Baada ya madai haya ya Polepole, mapema tu ukaanza mtifuano na majibizano humu. Wapo wanaopinga hoja za Polepole...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  9. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wanavyo Wabembeleza Watanzania Kusapoti Stars Utadhani Sio Wanao Waibia Kura na Kuwadharau Watanzania Bila Aibu.

    Maneno meengi kuipigia debe Taifa Stars na hasa Wakenya walipo amua kuwa against sisi kwa kila jambo hasa kutusaidia kutokana na sisi kushindwa kujipigania na tukijipigania tuna kumbana na nguvu ya dola au kutekwa na kupotezwa. Wako wapi hao milioni 13 wanaccm wasijae kiwanjani kuipigania "timu...
  11. PLOII

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pole Pole amegundua watanzania bado wajinga kwa hiyo anafanya Political Manipulation

    Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema. Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information. Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuiunge CHADEMA kwa nguvu zote, Taifa letu limechezewa sana

    Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo biashara kupitia Brela. Ukisafiri kwenda nje .. ukiweka tu fingerprint...system ya airport inasema...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika let alone Watanzania, tusikubali nchi yetu itawaliwe na Rostam Azizi. Huyu ni wa kuja si wetu! Amekuja kuchuma!

    Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe. Polepole jana katuweka mguu sawa! Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe kama Waingereza, wajerumani and the like! Hawa kawaida yao wana uraia wa nchi nyingi..notablt Canada...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Samia ameshindwa kutunza mabasi ya mwendokasi, ataweza kuwatunza Watanzania milioni 65?

    Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
Back
Top Bottom