There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu.
Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea.
Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana.
Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
Leo hii Polepole ni shujaa. Leo hii Magufuli naye anakumbukwa.
Yani tunasahau haraka sana. Tunasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa uchafuzi.
Tunasahau Lissu kunyanyaswa kila mara kukamatwa kutiwa ndani na hatimae kumiminiwa risasi kama punda.
Tumesahau hela za rambirambi kupigwa mchana kweupe...
Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu.
Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma.
Mara ya kwanza nilidhani anani test. Mimi natosheka na kumbagaza tu mwanamke.kumbananga hapana si jambo zuri. Ila...
Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana yake wanaleta ndoto ambazo hazina kazi kwa watanzania.
Mathalani, mtu analeta ahadi ya kuzalisha...
Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa.
Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
Watanzania bado tunaogopa.
Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho...
Ukipita mitandaoni, utagundua kuwa kwa sasa kuna watanzania wanaomba jambo moja very serious lifanyike ili nchi irudi kwenye mstari
Mtu anashauri jambo very serious lifanyike na anapata comments zaidi ya 2000 huku karibu asilimia 99 zinaunga mkono wazo lake. Hii ni ishara kuwa watu wamechoka na...
Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania.
Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania
Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo.
Wao waliamini kuna misukule na mizimu. Waliamini kila kifo kina matokeo mawili. Kama mtu atakufa kikawaida, anageuka na...
Hakika mambo ni mengi lakini Mungu ni mkubwa na ni mwema wakati wote
Just imagine alivyowavuluga wanadamu katika lengo la kujenga mnara mrefu pale mjini babeli
Basi ndio unaambiwa ndio pigo wanapigwa wale jamaa wqnaojua hii nchi ni yao
Mwanzo hawakuamini uwepo wa karma lakini leo wanajionea...
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania
Na Tundu Lissu
28 Agosti 2025
Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua wazo: wazo kwamba Watanzania wanastahili uchaguzi huru na wa haki, viongozi wanaowajibika, na nchi...
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
Katika kile kinachoitwa ilani ya uchaguzi hakuna kitu Cha kimkakati hata kimoja zaidi ya vitu vyepesi ambavyo vimeimbwa toka 2021 Hadi Leo.
Hakuna mradi wowote wa kimkakati,hakuna chochote kuhusu kinachoweza walau kutufanya tushindane na jirani zetu na Dunia. Mambo ni yale yale ajira za...
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini?
Haiainishi...
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.
Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.
Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya.
Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.