There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo
" Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania. Kuteka watu , kutisha, kufungia vyombo na kutumia mahakama na Bunge vyote vimeshindikana.
Kutumia pesa nako sasa kunashindikana. Kutumia Polisi na vyombo vya usalama sasa inashindikana.
Ikulu imezungukwa na watu waongo...
Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa
Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake.
Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma)
Kwanini kila kitu...
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.
Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa
Ila haoa kuna kitu...
Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano.
Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
Upo usemi kuwa usihukumu kabla ya kusikia upande wa pili. Kwa aliyepata bahati ya kumsikia Polepole kuhusu sakata Rostam kujinyakulia mgodi wa makaa ya mawe na ule wa almas atakubaliana na mimi kuwa maelezo ya Rostam kujibu tuhuma hizo, hata kama humpendi vipi, yamezififisha sana hoja hizo...
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika
Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata...
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini...
Habari watanzania
Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea.
Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu,
Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
Habari Wana JF
Katika tafiti nilizozifanya nimegundua 99% ya watanzania oktoba watatiki na 1% iliyobaki niwatoto ambao bado hawajafikisha umri wakupiga kure
Takwimu hizi zinadhihirisha yakua watanzania wengi wanapenda Samia kutokana na mengi aliyo yafanya nawamekubali kumuunga mkono
Naomba...
Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa...
kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya.
Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu.
Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.