Hawa “Watoto” wanaoisumbua CCM na Serikali yake, CCM waliwaandaa wenyewe. Kama vile Mkoloni alivoandaa waafrika kwa nafasi duni za ukarani, mesenja nk akiamini wakiwa na elimu kubwa watamwangusha akawapa Elimu duni ya Masingi tu lakini ajabu haohao bado wakatumika kumtoa, “mkoloni hakuamini.”...