watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Visa za China na Marekanki kwa Watanzania

    Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  3. Life2

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Kutetea maovu

    Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa nchi wastaafu na wasasa, vijana, wazee, Radio na hata mitandao ya kijamii. Kwa sasa ni kitu cha...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mika Chavala: Najiona nina deni kubwa sana kwa watanzania naahidi mchango wangu utaonekana katika nchi hii na Afrika

    Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu Mika Chavala aachiliwe huru na kufutiwa kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabali pamoja na Niffer na wengine, hatimaye Mika amezungumza kuwashukuru watanzania wote akieleza ni upendo wa namna ya ajabu na anajihisi mwenye deni kubwa kwa watanzania akiahidi kuwa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio wabunifu, kwanini ukiwa nchi za watu kuna utofauti kabisa. Naomba niwape haya

    Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo. Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao. Kinachonifurahisha kila mtu ana...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa viongozi wa CHADEMA ni Watanzania wenzetu kweli hawa?

    Ukisikiliza maneno ya viongozi wa CHADEMA unaona kabisa Hawa watu siyo wenzetu kabisa, hawana Utanzania mioyoni mwao, ni watu wasioitakia mema nchi yetu, ni watu ambao hawafai mahali popote, ni wachawi wa maendeleo ya Taifa letu, yafaa tuwapuuze kabisa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunaunga mkono Gen Z na Makundi yote yanayodai haki, Tunawapa pole watanzania wote

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya watanzania , vijana wa Tanzania Gen Z, viongozi wa dini, wanaharakati na makundi yote ya kijamii kuwa...
  10. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SAUTI YA MABADILIKO –Ujumbe kwa watanzania wote na Roma Mkatoliki

    Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
  11. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Tukipanga maandamano December 25, watanzania wote tutaanza kuzungumza lugha moja.

    Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea. Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
  12. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

    Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia. Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa awapongeza Watanzania kwa kuchagua kulinda AMANI

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
  14. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

    Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December. Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamekataa vurugu, Wamechagua amani

    Wanaukumbi. WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌 Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  17. kahtaan

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusichezewe akili na wageni

    Wana jamvi. MaJuzi mmesikia USA waki conderm majanga yaliotokea ktk nchi yetu nzuri. Na E.U kuzuia msaada wao wa 180 million Dollars kwa kisingizo hicho hicho. Juzi Balozi wa USA nchini amesaini mikataba mikubwa mitatu ya makampuni ya MAREKANI kuwekeza Hapa Nchini. Sasa wale ambao wanadhani...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania wavimiminia na kuvimwagia Sifa na Pongezi vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa Uhodari na uimara wake katika kulinda Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani mbalimbali wawapo katika misheni mbalimbali nje ya nchi. Imefahamika ni kwanini Tanzania imekuwa salama...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
Back
Top Bottom