Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia...