watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumzia Siasa kwenye Chuo cha Kijeshi unataka kutuaminisha nini Watanzania?

    Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo. Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo ambaye pia ameweka historia ya kuwa Kiongozi wa Nchi aliyeongoza akiwa na umri mkubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini watanzania wanapenda sana vyama vyao kuliko hata nchi?

    Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao. Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama. Hivi vyama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanaogopa kujadili matatizo/changamoto za nchi yao kwa mtazamo wa kuwa watapotezwa?

    Anaandika, Robert Heriel Ni lini mtazamo huu utaondoka? Nani atauondoa? Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa moja serikali. Sio wazazi Sio Wake au watoto wetu, Sio Wasomi au wasiosoma Sio Mafukara na Wakwasi...
  6. JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015. Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

    Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi; Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea. #Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo. Wale...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

    Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake. Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni. Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
  10. JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

    "....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. " Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar. NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa, Ukiangalia namna...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi! Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi! Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)! Watu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wakumbuke watanzania, likumbuke taifa lako teule Tanganyika

    Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe. Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania. Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa nyanda za juu kusini wanasema Mama ametufikia na kutujaza matumaini, wanauliza nani hajafikiwa na mama?

    Ndugu zangu huo ndio msemo mpya ulioibuka huku mtaani kwa kundi kubwa la wakulima ambao kwao kilimo ndio pumzi yao, wanasema hakika Mh. Rais Samia amewafikia kwa wakati na kuwajaza matumaini katika mioyo yao. Hii imetokana na kuwasili kwa wakati kwa mbolea za ruzuku zinazouzwa kwa bei elekezi...
  15. JamiiForums Tanzania Ajabu sana, Waziri anakiri watanzania ni masikini halafu bado anaweka tozo

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema. “Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe Idadi kubwa ya watu hawazalishi tusilaumu kila kitu

    Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na miradi iliyoko. Sasa hakuna elimu ya bure kwa ukweli ndiyo maana kuna tozo. Elimu ya juu hii mikopo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa watanzania wengi fast food ni chakula bora na kinaonesha wewe ni tajiri!

    Asilimia kubwa ya watanzaia wanaona kula fast food ndio unakula chakula bora, na wanakuchukulia wewe kama doni wa mtaa. Chakula chako kikihusisha mboga kama bamia, dagaa na mboga nyingine za majani wewe unaonekana kapuku usiyekula vitu wa vya maana! Mtu anakula chakula bora chenye virutubisho...
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania. Ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…