TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,105
B5E7ACFB-184C-42CD-89DE-EFE630735B8E.jpeg

Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo.

Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo ambaye pia ameweka historia ya kuwa Kiongozi wa Nchi aliyeongoza akiwa na umri mkubwa amefariki mchana wa leo.

Kufuatia kifo chake, mtoto wake mkubwa, Mwanamfalme Charles, ndiye anayerithi mikoba ya utawala.

8:30
============================

Kasri la Buckingham imesema kuwa Malkia Elizabeth II yuko chini ya uangalizi baada ya hali yake kiafya kuwatia wasiwasi madaktari wake.

Malkia mwenye miaka 96 alilazimika kughairi mkutano wa mtandaoni uliopangwa na Waziri Mkuu Liz Truss na tayari Mwanamfalme Charles na Prince William wameitwa kwenye makazi ya Malkia.

3:48
============================

The Queen is under medical supervision after doctors became concerned for her health this morning, Buckingham Palace revealed today, as the Prince of Wales, Camilla and the Duke of Cambridge to be with the 96-year-old monarch.

Her Majesty's immediate family members have been informed about the downturn, her spokesman said, leading to her two heirs - Charles and William - going to her bedside amid escalating fears for the monarch's wellbeing.

Prince Andrew, Princess Anne and Prince Edward and his wife Sophie are all on their way with one of the Royal Family's helicopters landing in the grounds of Her Majesty's Scottish home this morning.

A royal spokesman said: 'Following further evaluation this morning, The Queen's doctors are concerned for Her Majesty's health and have recommended she remain under medical supervision. The Queen remains comfortable and at Balmoral.'

A statement about the Queen's health is exceptionally rare and suggests the situation is very serious. One insider said: 'This is deeply worrying. The Palace don't normally do this'.

Minutes before the statement, the new Prime Minister Liz Truss was handed a note in the Commons informing her of the development as she was revealing her plans to cap energy bills for the next two years.

Ms Truss said 'the whole country will be deeply concerned by the news from Buckingham Palace this lunchtime' adding 'my thoughts – and the thoughts of people across our United Kingdom – are with Her Majesty The Queen and her family at this time'.

DAILYMAIL
 
Mipango ya Operation "London Bridge" nadhani itakuwa inapitiwa pitiwa katika nyakati mfano wa hizi. Waingereza bhana


Operation London Bridge (also known by its code phrase London Bridge Is Down) is the plan for what will happen in the United Kingdom on and immediately after the death of Queen Elizabeth II. It includes planning for the announcement of her death, the period of official mourning, and the details of her state funeral. Some critical decisions relating to the plan have been made by the Queen herself, although some can only be made by her successor, Charles, Prince of Wales, after her death
 
Operation London Bridge. Hii ni codename kuhusu mambo yote yatakayohusu msiba wa Malkia Elizabeth wa II pindi akifariki.

Kuna tetesi kutoka huko katika kasri la Buckingham Palace kuwa hali ya Malkia ni tete na amelazwa ICU.

Tetesi nyingine zinasema ameshafariki, hivyo kwasasa ni taratibu zinaendelea kuwekwa sawq ili dunia itangaziwe msiba huo mzito.

Ikumbukwe, Malkia Elizabeth wa II mwenye umri wq miaka 96, alipata wadhifa huo mwaka 1952 mpaka leo yupo madarakani.

Endapo atafariki, mwanae Prince Charles atarithi kiti hiko.

Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC wametangaza kuacha kutoa taarifa za hali ya afya ya Malkia mpaka hapo baadae.

Tuendelee kusikilizia hapa kwa live updates...
 
Back
Top Bottom