watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  2. Kgy26

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  3. Kgy26

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utunzaji wa Afya kwa Watanzania

    Afya Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii. WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii. Aina za Afya Afya ya kiakili, inajumuisha hisia, tabia na mitazamo ya mtu kuhusu binadamu wenzake na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia zinavyoleta mageuzi ya kiuchumi katika utalii 2022. Hongereni watanzania

    Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi Mwezi July 2022 ongezeko la watalii limekuwa kwa 62% ambapo watalii wapatao 742,133 wameweza kutembelea...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wasiojua kuhusu Rais Ruto, aliandaliwa muda mrefu

    Watz wasiomjua RUTO ni kwamba RUTO ni mtu wa Serikali miaka na miaka. Aliingizwa serikalini na kuwa mbunge na mzee MOI kwa hiyo watanzania msishangae sana. Rais haibuki, Anaandaliwa. Kenya sio wajinga hata UHURU alikuwa anajua hili. Watz msiwe watu wa kushngaa sana!
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwarobaini wa kutibu hali ya ubakwaji/kulawitiwa kwa watoto kwenye jamii yetu ya Watanzania

    MWALUBAINI WA KUTIBU HALI YA UBAKWAJI AU KULAWTIWA KWA WATOTO KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. Ubakaji maana yake ni ile ya mwanaume kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake pasipo kujali ameingiliwa kwa kutumia kitu gani. Kulawitiwa ni ile hali ya mwanaume au mwanaume kuingilia kinyume na...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  8. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilike, Kiswahili chetu ni kibovu sana

    Kiingereza hatujui na lugha yetu adimu na adhimu kila siku tunaiharibu kwa kuingiza maneno ya kihuni. Tunakosa nafasi za kufundisha nje ya nchi pamoja na kazi za kutafsiri. Tutumie lugha moja ili tupate nafasi za kufundisha Uganda, Rwanda, South Africa na kwingineko! Uganda, Rwanda na South...
  9. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  10. Stranger94

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uzalendo: Watanzania tutengeneze na kuendeleza vya kwetu

    UTANGULIZI Uzalendo ni neno lenye maana pana inayohusisha mapenzi ya dhati na uwajibikaji kwa nchi yako. Tanzania ni moja kati ya nchi kubwa barani Africa yenye mtaji wa watu zaidi ya milioni 60. Tanzania imejitofautisha na nchi zingine duniani kwa mambo mengi ikiwemo lugha adhimu ya...
  11. google helper

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Soka ni biashara ni ajira ni uchumi ni utajiri lakini Watanzania tumelala usingizi wa pono

    .
  13. Mkwanzania

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka nini?

    Watanzania wanataka barabara nzuri za juu na chini, wanataka reli ya kisasa, wanataka huduma bora za afya na elimu bure, wanataka mbolea na mafuta kwa bei nafuu, hapo bado wanataka na ajira zenye mishahara minono na wale walioajiriwa na serikali wanataka nyongeza mara dufu, lakini hawataki...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

    1. Umbumbu 2. Ushamba 3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada 4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe 5. Unafiki 6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni 7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumzia Siasa kwenye Chuo cha Kijeshi unataka kutuaminisha nini Watanzania?

    Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo. Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo ambaye pia ameweka historia ya kuwa Kiongozi wa Nchi aliyeongoza akiwa na umri mkubwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini watanzania wanapenda sana vyama vyao kuliko hata nchi?

    Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao. Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama. Hivi vyama...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanaogopa kujadili matatizo/changamoto za nchi yao kwa mtazamo wa kuwa watapotezwa?

    Anaandika, Robert Heriel Ni lini mtazamo huu utaondoka? Nani atauondoa? Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa moja serikali. Sio wazazi Sio Wake au watoto wetu, Sio Wasomi au wasiosoma Sio Mafukara na Wakwasi...
  20. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015. Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata...
Back
Top Bottom