watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Changamoto kubwa inayowakabili Watanzania kupata Huduma za Afya ni gharama

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya ambayo amedai kuwa itawawezesha kupata matibabu kwa urahisi. "Ukiwauliza Watanzania leo changamoto...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutafute namna bora ya kumtunza Freeman Mbowe

    Watanzania wenzangu Mh. Freeman Mbowe ni hazina kwa taifa letu. Kiongozi huyu wa upinzani Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA ameonesha ujasiri na umahiri mkubwa sana katika kujenga Tanzania yenye uhuru, demokrasia na amani. Freeman Mbowe amekuwa kiongozi mwenye weledi mkubwa na tunashukuru Mungu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotumia mita za luku za maji tukutane hapa

    Waziri Juma Aweso amekuwa akitangazia Umma wa watanzania kupatiwa mita Za Luku Za maji. Watanzania wenye meta hizo tukutana hapa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiamulie hatma ya taifa letu wenyewe tusitegemee mtu

    Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania 21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
  7. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Magufuli Tunu inayoheshimika na Mataifa nakuchafuliwa na baadhi ya Watanzania Wasio Wazalendo

    MAGUFULI ni Kwame NKURUMA au ni Fidel Castro wa karne ya 21, KIU yake kubwa ilikuwa kuona mabadiliko ndani ya Bara la Africa na mioyo ya waAfrica. Alidhamiria kuondoa mabaki ya utumwa kichwachi kwa Watanzania na Bara la Africa kwa ujumla, Mara ZOte aliyasema maneno nakutekeleza kwa vitendo koti...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini licha ya kuwa na Watanzania zaidi ya million 60 bado sura za viongozi wa upinzani ni zilezile?

    Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii! Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora. Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna uraibu wa kukopa

    Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla. Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo. Nimekuja...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

    Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa. Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa. Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini...
  13. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

    Great Thinkers, Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania. Rais Dkt Samia ameendelea kupanga...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuzitambue na kuzithamini juhudi za Rais Samia Suluhu

    Wasalaam Kama unatafakari vizuri sana na kuwa na matumizi sahihi ya akili yako, basi utaniunga mkono katika hoja tajwa hapo juu, pia kuziunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu. Ni ukweli usiopingika kuwa, mtangulizi wa Mama yetu huyu, alivuruga na kuleta taratibu nyingine ambazo zilikuwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel: Katika kipindi cha Januari hadi Disemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zimetumika

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI. Chanzo: ITV Tanzania Na kwa ninavyowajua Watanzania (Wabongo) kama kuna zilizotumika kwa mwaka...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

    KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’ Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Matapeli waoneeni huruma Watanzania

    Wasalamu, Kipo kisa kilichotokea juzi cha kujifunza. Kinahusisha wahusika wanne. Ambao ni binti, wakala, tapeli na boss wa binti. Binti wa Kazi kapokea message kwamba katumiwa shilingi 750,000 kupitia namba hii 0672312375 ya tapeli, kisha tapeli kampigia simu binti kwamba amekosea kutuma pesa...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma ya sasa siyo kama ya zamani

    Rais Samia Suluhu anaandika historia ya kuwa mmoja kati ya viongozi nchini waliopeleka miradi mikubwa ya kimaendeleo Kigoma na kuubadilisha mkoa wa kigoma kutoka mkoa uliokuwa nyuma kimiundombinu na kuwa mkoa wa kisasa. Hiyo inatokana na Rais Samia Suluhu kupeleka miradi mikubwa ya barabara...
  20. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwa maridhiano haya Watanzania hatutarajii kuzisikia tena kauli hizi

    Asanteni viongozi wetu, Rais Samia na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wajumbe wa vyama vyenu kwa maridhiano kwa taifa. Binafsi nimefurahishwa sana kwa hekima busara na hofu ya Mungu waliyonayo hao viongozi kukubali kuridhiana kwa niaba ya Watanzania wote ili Watanzania tuishi kwa amani...
Back
Top Bottom