watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  2. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

    Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi. Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na...
  3. Ngarumbe

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Watanzania wenzangu

    Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea. Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine. Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote. Nipo...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni CCM haiko serious na maisha yenu

    Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM. Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri. MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku. Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwigulu anawadharau na kuwaona Watanzania wajinga? Alituambia tuhamie Burundi sasa hivi anadai tujadili uganga

    Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeona nuru

    Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa. Mara nyinyi panatokea uvunjifu wa amani, ni kwamba haki imepotezwa, na haki ikipotezwa na amani inakuwa haipo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri asiyeogopa kuusema ukweli na amedhamiria kutaka kuona Watanzania wanatendewa Haki katika uongozi wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka. Ndio maana anasema ukweli bila uoga...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Rais Samia kuwawezesha Wafanyabiashara wa Kitanzania kuwa mabilionea, Ili Uchumi wetu uwe Mikononi Mwetu Watanzania

    Ndugu zangu watanzania, Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda katika miradi ya serikali na maeneo mengine makubwa makubwa yanayogharimu kiasi kikubwa Cha fedha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano imeanza bila kuwa na hoja za kuitikisa Serikali ya Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema,kwa wafuatiliaji wa siasa Tuliona mapema kuwa upinzani utapata shida kubwa Sana majukwaani katika kujenga hoja zenye kuwashawishi na kuteka Hisia za Watanzania,kutokana na sababu kuwa Rais Samia amefanyia kazi kero na changamoto mbalimbali...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kupandikiza tabasamu katika mioyo ya Watanzania

    Ndungu zangu watanzania, Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa. Nchi Ina Tabasamu na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CUF wameionya Urusi ikome kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani

    Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limeitaka Urusi kukoma mara Moja kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani CUF wamesema jambo hilo halikubaliki kabisa Chanzo: Mwanzo tv
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kamari inadhoofisha Nguvukazi na kupunguza mzunguko wa Fedha kwenye Uchumi

    Nilitegemea mikutano mitatu ya kwanza ya CHADEMA hali ya Uchumi ndio ingekuwa Hoja kuu. Cha ajabu hoja kuu imekuwa Maridhiano ya CCM na CHADEMA ambayo hayawahusu Watanzania wote. Unapopata fursa ya kuongea na Wananchi zungumzia mambo ya Taifa siyo ya chama chako. Nampongeza Komredi Chongolo kwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
  20. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

    Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo. Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo...
Back
Top Bottom