watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kuunganisha Watanzania si kuwagawanya

    Taifa letu linapitia kipindi kigumu, kikiwa na changamoto nyingi — nyingine zikiwa hazijawahi kushuhudiwa tangu kupata uhuru. Majeraha haya ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa yanahitaji uponyaji wa pamoja, si maneno ya kutonesha vidonda Ni kweli, kuna hali ya sintofahamu, lawama, na hisia mseto...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

    Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki? Hii inahusu zaidi chama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamepanda mbegu kwa Watanzania, nguvu na pesa hazisaidii

    Hata leo mkifungia Chadema sera zao tayari zimesha eleweka na ndizo zipo kwa Watanzania wengi.!Pesa , uchawa, rushwa haitaweza kubadilisha imani ya watanzania ni kupoteza muda. Ukiwa na genius kama walina Lissu hata ukiwafunga haisaidii maana sera zao ni za kitaifa. Haki ni kitu cha kibinadamu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya halaiki ya Watanzania MO 29 yaingizwe kwenye syllabus ya somo la history

    Wanajamvi Mo 29 na kuendelea ni kipindi ambacho nchi yetu iliingia katika kiza kinene, anga lake likiwa limefunikwa na damu, huku ardhi yake ikilalamika kuelemewa na miili ya Tanganyika ikiomba msaada wa kuhifadhiwa na ndugu zao. Ni kipindi ambacho nchi yetu imeingia katika historia mbaya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene inawezekana hujui watanzania wanataka Nini kutoka Jeshi la Polisi, pitia hapa nikwambie

    Mh. Waziri, Soma mkasa huu kwa makini na uweze kujua haswa watanzania wanataka Nini kuliko kuanza kuwahubiria kuhusu maboresho mnayotaka muyafanye kwa Jeshi la Polisi. Mnamo tarehe 29 Oktoba - 03 November, 2025 Kuna familia zilishuhudia wapendwa wao wakikamatwa na Jeshi la Polisi na...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Christmas njema Watanzania wenzangu

    Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya •tuache matendo mabaya, •tulipe Kodi, •tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI •tuache uchonganishi na upotoshaji, • tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu, • tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuleni Pilau na Mfurahie Noeli watanzania. Hakuna Nywi nywi wala Nywi nywi nywi

    Hali ya jiji ni shwari kabisa watu wako busy na kufurahia moja ya Siku kuu kubwa Duniani yaani X-mass hakika Tanzania itaendelea kuwa mfano wa nchi ya amani. Hii pia ni aibu nyingine kwa Wazandiki, Waratibu, waanzilishi, waunga mkono Chokochoko kutaka kuiharibu Tanzania. Vibaraka wa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Krismasi ni Kuzaliwa Kwa Mwokozi Kutukomboa, Ili Tanzania, Watanzania, Tukomboke, Lazima Tuzaliwe Upya!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi. Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya Krisimasi ambayo ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Masiha, Mwokozi wa Wakristo, Bwana wetu Yesu...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Sheikh Hemed Jalala awatakia Wakristo Heri ya Krismasi

    Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao, Yesu Kristo. Akizungumza katika salamu zake za sikukuu kwa mwaka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?

    Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe. Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Shilole: Watanzania wasitununuie wasanii, tutakula wapi? wachukulie imepita

    Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Visa za China na Marekanki kwa Watanzania

    Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  19. Life2

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Kutetea maovu

    Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa nchi wastaafu na wasasa, vijana, wazee, Radio na hata mitandao ya kijamii. Kwa sasa ni kitu cha...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
Back
Top Bottom