watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tusianze massive constructions of apartments nchi nzima?

    Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania wengi wapo upande wa Lissu?

    Najiuliza sana hili swali. Wengi wanasema Lissu anaonewa na kuteswa bure. wamama, wazee na vijana mitaani wapo upande wa Lissu. Why?
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 90 ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3

    Salamu Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla. Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hayumo kabisa kwenye Epstein Files, lakini kuna watanzania wametajwa humo, je ni kina nani na kwanini hawazungumziwi ?

    Website ya epstein files hi hapa na unaweza kusechi chochote kilichomo kwenye mafaili https://www.justice.gov/epstein Nimesechi Tanzania na nimekutana na matokeo mengi sana, najiuliza hao waiokuwa wanatajwa ni kina nani Walifanya kama utani kwa Maria Sarungi kumtengenezea hadi picha za AI...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nina Wazo: Watanzania tuujenge Mnara wa kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025

    Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025. Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa. Majina yao yatakuwa hadharani. Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua. Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wabongo wampelekea moto Tyrese baada ya kumpost Samia na kumsifia hadi akaifuta post yake

    Ukiwasikia wabongo wamemkataa huyu Mama Kizimkazi ndio hii yani mtu yeyote atakayemuunga mkono basi raia watamvaaa vibaya kama haliyokutana nayo Tyrese. Na wabongo wanatupa maneno ya kiswahili hadi akafuta post tyrese: The first female President of Tanzania and East Africa as a whole...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje?

    Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje? Davido alipokuwa akitumbuiza alipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa shabiki tofauti na wasanii wa Tanzania wanapokuwa wakitumbuiza Ni zipi sababu za kutokuonesha ushirikiano kwa wasanii wenu wa Tanzani...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa shangwe waimba rais rais wakimpokea lissu mahakamani

  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tesha: Amekataa mauaji na utekaji amesimama na watanzania kulingana na kiapo chake ni jeshi la kuigwa

    Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi. esha
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu ya kila kitu watanganyika, na si watanzania

    Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya MO29 yaliipandisha Tanzania kwenye Rank za juu ya kidunia. Na sasa Ile dhana ya watanzania ni mandondocha imekufa. Watanzania sasa

    Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania DUBAI: Watanzania acheni kumnyanyasa Samia Suluhu, sasa amekutana na Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum😂😂

    Salaam Wakuu, Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya. Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Kwamba Watanzania...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umewafanyia Watanzania mambo mengi kuliko Rais yeyote lakini wanakulipa matusi kila kukicha

    Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia. Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Paresso: Rais Samia ana siku 90 yuko ofisini takribani mambo 10 aliyoahidi watanzania anaenda kuyatimiza

    Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali. Akizungumza Februari 2...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameuwawa na samia na genge lake alafu maiti wameteka watu wanatafuta wapendwa wao hii haikubariki watalipa

  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
Back
Top Bottom