watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi.
  2. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  4. Kimbesa11

    Watanzania wote, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi tuwakatae hawa vibaka wanaopanga vurugu nchini huu ndiyo uzalendo

    Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete Halmashauri hakikisheni hakuna mtu wa kuhujumu maendeleo ya halmashauri zenu kwa vurugu mwageni ulinzi wa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Kwa utafiti usio rasmi nimegundua kuwa Watanzania ndio wajinga nambari 1 duniani

    Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia. Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni. Kwa...
  6. Mafyangula

    Njagi asema kukamatwa kwake kulipangwa, atoa wito wa maandamano ya Desemba 9 kuungana na Watanzania

    Mwanaharakati wa Kenya Bob Njagi amefichua kwamba kukamatwa kwake hivi karibuni nchini Uganda, pamoja na mwanaharakati mwenzake Nicholas Oyoo, kulipangwa kwa makusudi. Amesema walikamatwa muda mfupi baada ya kuegesha gari lao katika kituo cha mafuta kinachodaiwa kumilikiwa na Rais William Ruto...
  7. Genius Man

    Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  8. Idugunde

    Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

    Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane. Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao. Soon ukombozi utapatikana by any means necessary. Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
  9. Mafyangula

    PostGE2025 Wananchi: Wabunge waache "uchawa" wafanyekazi ya kuwatumikia watanzania

    Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo linalowasilishwa Bungeni, ambapo wameeleza kuwa ni muhimu kwa Wabunge kusimamia haki, misingi ya Katiba na...
  10. Chizi Maarifa

    Hawa wahariri hawajui ni kwanini Watanzania mliandamana. Je, hamuwezi watembelea kuwaeleza?

    Watanzania. Hawa WAHARIRI hawajui ni kwa nini mliandamana. Je hamwezi watembelea kuwaeleza? Wameridhika kulipiwa SGR na kupewa per diem huko Dodoma. Hawajui lolote kuhusu ninyi. Muwatenbelee kuwaeleza ninyi ni akina nani na kwa nini mliandamana.
  11. Pakome

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
  12. Pakome

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  13. HesabuKali

    PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  14. Dumelang

    Ukishangaa ya CCM utayaona ya Watanzania

    Hawa “Watoto” wanaoisumbua CCM na Serikali yake, CCM waliwaandaa wenyewe. Kama vile Mkoloni alivoandaa waafrika kwa nafasi duni za ukarani, mesenja nk akiamini wakiwa na elimu kubwa watamwangusha akawapa Elimu duni ya Masingi tu lakini ajabu haohao bado wakatumika kumtoa, “mkoloni hakuamini.”...
  15. aleesha

    Watanzania wenzangu naomba tutumie busara kwenye uwasilishaji wa hisia zetu hususani kwenye maneno tunayoongea

    Watanzania wenzangu naomba tutumie busara kwenye uwasilishaji wa hisia zetu hususani kwenye maneno tunayoongea. Ni kweli tumeumbwa tofauti kila mmoja ana namna yake ya mihemuko na hasira lakini tuangalie hasara za baadae ambazo tutakuwa tumeziumba sisi wenyewe kutoka kwenye Vinywa vyetu...
  16. K

    Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
  17. Q

    Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  18. October 2pm

    PostGE2025 Kama una ndugu polisi ujue hata yeye alishiriki kuua watanzania

    Mwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka. Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni...
  19. Course Coordinator1

    Tetesi: Watu hawa wanahusika na mauwaji ya maelfu ya Watanzania

    Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono. Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu...
  20. M

    Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

    Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
Back
Top Bottom